Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu kuna watu wanafanya kazi baraza la mitihani. Matokeo yanatoka lini?
Tulia dogo yatatoka tu.Humu kuna watu wanafanya kazi baraza la mitihani. Matokeo yanatoka lini?
Tulia dogo yatatoka tu.
Bila kuwasahau walioandika matusi!!!Wanafunzi waliochora ma Zombi kwenye pepa saiv matumbo joto.
Inasikitisha sana yaani mtu anasoma miaka 11 alafu mtihani wa form 4 anaandika matusi. Sasa si bora miaka minne aliyoitumia sekondari angefanya hata biashara angegain kitu.Bila kuwasahau walioandika matusi!!!
Tulia dogo yatatoka tu mimi siyo dogo