matokeo ya form four

matokeo ya form four

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
jaman hv matokeo ya form four yanatoka ln jaman?maana naona na uku nyumban nshachoka kukaa!au na ningepata kaz ata kwenye campuni yakusukuma huu mda uliobaki ningefurai xana..nisaidien wana jamvi jaman
 
Lazma utakuwa mwendawazimu matokeo leo ?
 
Hata yakitoka leo chuo au a levo ni mwakani kwanzia mwez wa tano,kuwa mdogo tu saidia kuosha vyombo,kupika na kazi nyingine

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jaman hv matokeo ya form four yanatoka ln jaman?maana naona na uku nyumban nshachoka kukaa!au na ningepata kaz ata kwenye campuni yakusukuma huu mda uliobaki ningefurai xana..nisaidien wana jamvi jaman
wanaandaa Div 5 bado
 
1426246_204126326439006_277632284_n.jpg
 
Back
Top Bottom