Matokeo ya form six 2014 yatatoka lini?

Yani bado hawajaanza hata kusahisha we unaulizia tokeo....

Hapo ni mpaka mwezi wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni..
 
Tetesi zilizopo wadau n kwamba tokeo linaweza toka mwezi wa saba mwishoni kuanzia tar 20--.
So yu better got no worries guyz.
 
Msiwe na haraka chuo chenyewe mpaka mwezi wa kwanza mwakani.
 
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa! Fungu la kusahihisha mitihani limepelekwa kwenye uchaguzi huo! Asante kama umenielewa!
 
Vipi jamani grade hazijapanda? mana nasikia D ambayo ndo principal imeanzia 50 marks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…