Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kusahihisha wameshamaliza tayariYani bado hawajaanza hata kusahisha we unaulizia tokeo....
Hapo ni mpaka mwezi wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni..
Yani bado hawajaanza hata kusahisha we unaulizia tokeo....
Hapo ni mpaka mwezi wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni..
mtaanza kuharibu jukwaa sasa kwa kuuliza matokeo
Hivi jeshini mtaenda lini?
Hivi kumbe matokeo hayajatoka
wadau matokeo yatatoka mwezi gani mwaka huu?