Matokeo ya form six 2015 yatakuwa mabaya kutokana na sababu hizi hapa

Status
Not open for further replies.

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
*Form six wa 2015 waliita form two bila kuchujwa hali iliyo pelekea matokeo yao kuwa mabaya na kurudiwa kusahihishwa.

*Form six wa 2015 wengi wao walipita form four baada ya matokeo yao kurudiwa kusahihishwa au baada ya remix

*Sera ya BRN imepoteza mvuto na kukaririwa na watu kama ina aribu ubora wa elim.kwahiyo serikali lazima isirusu ujinga kwa namna yoyote ile ili watu wasiitafsiri brn vibaya

*Matokeo yatapangwa kwa GPA badala ya division. Kupangwa kwa GPA kunaunguza makali ya kufeli tofauti na division mfano mzuri ni mtu akiwa na D flat kwa division ana four but kwa mfumo wa gpa itaonesha amefaulu na ile hali ya four inafichwa.


&Kuna sababu nyingi nje ya hizo na zingine zimebezi kimazingira,uharisia,siasa n.k


>Karibuni wadau tulijadili hili.
 
Cha kushangaza nchi ya Zanziber ufaulu utakuwa.......
 
yatakuwa mabaya kwetu lakini kwao watayapokea kwa mikono,miwili BRN ya kawambwa ....
 
Last edited by a moderator:
Yenyewe matokeo yako wap? Au nayo mpaka tarehe 16 kama last year? ¿??????????????¿??????
 

achakukurupuka
 
Mbinu ya wanasiasa kujisafisha kuitia matokeo ya sekondari imesha gunduliwa kwahiyo itakuwa ngumu kwao kuitumia kwani watajichafua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…