Wa Igima
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 376
- 110
*Form six wa 2015 waliita form two bila kuchujwa hali iliyo pelekea matokeo yao kuwa mabaya na kurudiwa kusahihishwa.
*Form six wa 2015 wengi wao walipita form four baada ya matokeo yao kurudiwa kusahihishwa au baada ya remix
*Sera ya BRN imepoteza mvuto na kukaririwa na watu kama ina aribu ubora wa elim.kwahiyo serikali lazima isirusu ujinga kwa namna yoyote ile ili watu wasiitafsiri brn vibaya
*Matokeo yatapangwa kwa GPA badala ya division. Kupangwa kwa GPA kunaunguza makali ya kufeli tofauti na division mfano mzuri ni mtu akiwa na D flat kwa division ana four but kwa mfumo wa gpa itaonesha amefaulu na ile hali ya four inafichwa.
&Kuna sababu nyingi nje ya hizo na zingine zimebezi kimazingira,uharisia,siasa n.k
>Karibuni wadau tulijadili hili.