habarini wapendwa mwenye ufahamu juu ya haya matokeo tafadhal anifahamishe ni lini yanatoka?
matokeo ya form two walomaliza National mwaka jana December yanatoka lini? tafadhali mwenye ufaham atujuze na je mtoto anaweza kwenda shule kuendelea form three?
lini haya matokeo yatatoka tafadhali?
yanatoka january 20 Msijali necta imetangaxa internet wamesha weka
shaka ondoa matokeo yatatoka lakini hakuna atakaye baki coz mpango mkakati wa serikali si kumbakisha mtu form two! Kifupi wote mtavushwa .
msitushke masikio nyie, mmesoma mwaka gani nyie mnaosema matokeo k.2 ni february, naomba muwaulize wadogo zenu coz mnaaibisha. Matokeo huwa yanatoka wk moja baada ya kufungua shule, mwambie aende shule then baada ya wk moja yatatoka.
Yakitoka ntawawekea link.
Matokeo bado hayajatoka
ahsante mkuu kwa Majibu yenye faraja
Kwa utaratibu ni hivi, mwanafunzi wa kidato cha pili anatakiwa kwenda shule mara tu inapofunguliwa bila ya kujali matokeo yametoka au bado kwasababu yeye akifaulu anaendelea na akifeli ni lazima (sio ombi) kurudia darasa, kama livyo elezwa na raisi mwezi wa 9/2014 kuwa yeyote alieacha shule mara baada ya kufeli kidato cha 2 sharti arudi shule kama sheria na taratibu zinavyoeleza, hivyo mdogo wako anapaswa kwenda shule bila kusubir matokeo( zoezi la kisubir matokeo linabak kwa kidto cha 4 na 6). Matokeo cjui yanatoka lini bro.
ni sheria ipi hiyo?
Habarini wapendwa mwenye ufahamu juu ya haya matokeo tafadhali anifahamishe ni lini yanatoka?
Matokeo ya form two walomaliza National mwaka jana December yanatoka lini? Tafadhali mwenye ufaham atujuze na je mtoto anaweza kwenda shule kuendelea form three?
Lini haya matokeo yatatoka tafadhali?
Yakitoka ntawawekea link.