Matokeo ya form two walomaliza mwaka jana mwezi December

Matokeo ya form two walomaliza mwaka jana mwezi December

habarini wapendwa mwenye ufahamu juu ya haya matokeo tafadhal anifahamishe ni lini yanatoka?

matokeo ya form two walomaliza National mwaka jana December yanatoka lini? tafadhali mwenye ufaham atujuze na je mtoto anaweza kwenda shule kuendelea form three?

lini haya matokeo yatatoka tafadhali?

shaka ondoa matokeo yatatoka lakini hakuna atakaye baki coz mpango mkakati wa serikali si kumbakisha mtu form two! Kifupi wote mtavushwa .
 
shaka ondoa matokeo yatatoka lakini hakuna atakaye baki coz mpango mkakati wa serikali si kumbakisha mtu form two! Kifupi wote mtavushwa .

ahsante mkuu kwa Majibu yenye faraja
 
msitushke masikio nyie, mmesoma mwaka gani nyie mnaosema matokeo k.2 ni february, naomba muwaulize wadogo zenu coz mnaaibisha. Matokeo huwa yanatoka wk moja baada ya kufungua shule, mwambie aende shule then baada ya wk moja yatatoka.

ata me nawashangaa alafu wanajifanya wajuzi eti matokeo yanatoka February sijui walisomea nchi gani hawa watu

ahsante mkuu kwa Majibu mazuri
 
Mtoto aende shule matokeo yatamkuta ni utaratibu wa miaka yote. akifaulu au akifeli anaendelea kusoma . hivyo apelekwe shule
 
kawambwa anajua lini yatatoka we nenda shule umefauru kwa jina la IPTL na ESCROW maabara kipolo kafulila amen.
 
Kwa utaratibu ni hivi, mwanafunzi wa kidato cha pili anatakiwa kwenda shule mara tu inapofunguliwa bila ya kujali matokeo yametoka au bado kwasababu yeye akifaulu anaendelea na akifeli ni lazima (sio ombi) kurudia darasa, kama livyo elezwa na raisi mwezi wa 9/2014 kuwa yeyote alieacha shule mara baada ya kufeli kidato cha 2 sharti arudi shule kama sheria na taratibu zinavyoeleza, hivyo mdogo wako anapaswa kwenda shule bila kusubir matokeo( zoezi la kisubir matokeo linabak kwa kidto cha 4 na 6). Matokeo cjui yanatoka lini bro.

ni sheria ipi hiyo?
 
ni sheria ipi hiyo?

Kadri ya taratibu za nchi yetu(cjui kwa nchi zingine) kauli ya raisi wa nchi ni sheria akihitaji jambo lifanyike hatuna budi kulifanya, hivyo kama unakmbukmbu ziara ya raisi mkoani Tanga 2014 aliamuru kurudi shule kwa yeyote alieacha mara baada ya kuferi k.2 nchi nzima na viongoz mbalimbali wakielimu kupokea barua rasmi inayo wataka kutokufukuza shule kwa mwanafunz yyte badala yake kumrudsha kidato kama amefeli na kumsubiri ajifungue na kurudi shule kama tatzo ni mimba(kwa mabinti). Kama kuna zaidi here from them.
 
Habarini wapendwa mwenye ufahamu juu ya haya matokeo tafadhali anifahamishe ni lini yanatoka?

Matokeo ya form two walomaliza National mwaka jana December yanatoka lini? Tafadhali mwenye ufaham atujuze na je mtoto anaweza kwenda shule kuendelea form three?

Lini haya matokeo yatatoka tafadhali?

Hofu ondoa huu ni mwaka wa uchaguzi watafaulu wote,lipa ada mwanao aende shule
 
hahaha hakuna lisilowezekana tanzania mtoa post watakuwa walisahau kusahihisha umewakumbusha mkuu ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom