Sidhani kama zina o level nowadays labda mlioko pande za "Kanyigo" mtujuze..WanaFJ,
Nimetafuta matokeo ya shule mbili miongoni mwa shule maarufu nchini zinazopatikana mkoani Kagera lakini sijafanikiwa kuziona nazo ni: Ihungo S0109 na Kahororo S0115. Naomba mwenye taarifa zao anisadie.
Natanguliza shukurani.
Katufu
kwani shule hizi zina umaurufu gani?
kwani shule hizi zina umaurufu gani?