Matokeo ya Ihungo na Kahororo 2012

Matokeo ya Ihungo na Kahororo 2012

Katufu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
523
Reaction score
309
WanaFJ,

Nimetafuta matokeo ya shule mbili miongoni mwa shule maarufu nchini zinazopatikana mkoani Kagera lakini sijafanikiwa kuziona nazo ni: Ihungo S0109 na Kahororo S0115. Naomba mwenye taarifa zao anisadie.

Natanguliza shukurani.

Sidhani kama zina o level nowadays labda mlioko pande za "Kanyigo" mtujuze..

c.c. omujubi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom