Matokeo ya juhudi za Rais Samia katika sekta ya utalii, avunja rekodi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001. Kulingana na toleo la 25 la utafiti huo ilipokea wageni wa kimataifa 2,294,495 mnamo mwaka 2025.

Hili ni ongezeko la 7.1% ikilinganishwa na mwaka 2024. Aidha, nchi iliingiza kiasi cha USD milioni 4,410.6 kama mapato ya utalii, ikiwa ni ongezeko la 13% mwaka hadi mwaka. Kwa upande wa Zanzibar,ilirekodi watalii waliowasili 654,880 na mapato ya USD milioni 1,190.8 ambalo ni ongezeko kubwa la 19.3%.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…