joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tumia akili wewe, katiba nzuri hupimwa kwa jinsi viongozi wanavyoshughulikia na kutatua kero za wananchi, jinsi wananchi walivyo na Uhuru wa kuonyesha hisia za bila kubughudhia, na jinsi vyombo vya dola vinavyowajibika kwa wananchi sio kwa viongozi.Sasa hapo mwenye makosa ni "katiba nzuri" au ni Polisi? CCM mnatetea udikiteta kwa point za kishenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumimina risasi afe mmoja tu? Exagerations!amewamiminia risasi waandaman
Hahahaha, unataka wafe wangapi ndio neno kumimina risasi liwe limekamilika?. Unaweza kumimina risasi na asife hata mtu mmoja, inategemea na shabaha yako, na jinsi hao unaowamiminia risasi walivyoji - "position".Kumimina risasi afe mmoja tu? Exagerations!
Katiba nzuri, hahahaha, hahahaha.Sasa hapo mwenye makosa ni "katiba nzuri" au ni Polisi? CCM mnatetea udikiteta kwa point za kishenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
wamewamiminia risasi waandamani na kukatisha maisha ya KIJANA mmoja na kujeruhi kadhaa.Hahahaha, unataka wafe wangapi ndio neno kumimina risasi liwe limekamilika?. Unaweza kumimina risasi na asife hata mtu mmoja, inategemea na shabaha yako, na jinsi hao unaowamiminia risasi walivyoji - "position".
Sent using Jamii Forums mobile app