Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
Hivi Tanzania hakuna sheria ya kuheshimu na kudhibiti data binafsi za watu? Ikiwa zipo ninashauri data hizo zisiwekwe hapa JF, isijekuwa jambo la kuichafulia JF jina lake.

Ikiwa Kibonde ni mpayukaji ahukumiwe kwa makosa yake, na ikiwa wapo walioathirika moja kwa moja na tabia za Kibonde waende mahakamani. Kuweka data zake hadharani kisheria (kama zipo) ni sawa na kujichukulia sheria mikononi.
 
tatizo la kibonde ni mropokaji wa kile asichokijua na tatizo la udsm ni madesa na kujifanya tunajua kila kitu wkt empty set

Nakubaliana na wewe Njoro.

Nyinyi munaojifanya wasomi hapo chuoni mumepata hizo Grades zenu kihalali? Si ndiyo nyinyi munaotetea wanaokopi kwenye mitihani halafu munamsema Kibonde?
 
yafuatiwe na ya mkuu wa kaya maana nae kwa mipasho hajambo,,, baada ya hapo yaje ya dokita shu kuru..... ka nanihiii bwa.. hawa wote mi nawasiwasi nao...
 
maskini kibonde anajitahidi tu kwa muda mfupi aliobakiza hapa duniani basi afanye kazi yake walahu mumkumbuke..anajitahidi wkeli wagonjwa wote wangekua strong hivyo basi tungekua mbali but watu bado wanaogopa ogopa..keep it up kibonde
 
Mwanaume ukawe mumbeya,kama jamaa huyo.kila kitu yeye anakijua,Mwenzie Gadina alikuwa anamcheka alimgeuza kama komedi,Hitafika muda tunamlipa aje kuchekesha watoto wetu.Masikani tumeacha kusikiliza radio hiyo.Kiboko yao Mr sugu.
 

Hii mambo ina sheria kweli....kila kitu kinakwenda kwa ujuaji juaji. Kwahiyo madogo walichofanya ni mwaga mboga tunamwaga ugali.
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Tungependa ushahidi, kama unaweza ya post hapa jukwaani!!
 

Pasco, nakubaliana na wewe kwenye kuhusu unyanyapaa, pamoja na mapungufu yake Ephraim bado ni binadamu na anastahili heshima kama mtu.

Naomba nikurekebishe kidogo kuhusu D 2, mtu aliyepata point 28, ni kweli ni Div IV ya mwanzo( enzi zetu hii ilikupeleka kwenye ualimu grade A) na maana yake ni wastani wa D saba, lakini ukiwa na D mbili ni Div IV ya mwisho yaani Point 33.
 
Kibonde tangu enzi za Tambaza ni Kilaza tu na alikuwa akija pale DON BOSCO anajifanya anajua sana basketball na tambo kibao mwisho wake kapata hayo madudu ni kati ya 1992-93...Kinachosiadi aweze kuishi town ni maneno tu.Kwanza redio yenyewe ya wapiga disco(DJ) mfano J.Kusaga alikuwa dj wa mawingu n.k,kwa hiyo kibonde yupo kwa vilaza wenzie...:hand::hand::hand::hand:
 
Mtaongea yote lakini maswali mawili tu 1. kati yenu kuna anayejua au alifuatilia kujua mgogororo wa kibonde na wanafunzi wa vyuo vikuu nini chanzo? 2. Je aliyoyasema kibonde kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu yana ukweli au uongo kiasi gani?
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

"D" mbili za nini?
 

Baada ya kibonde ni shetani anaeshindana nae kutajwa. Wote wana sifa moja CONDEMED kwa matendo yao mabaya
 
Mtaongea yote lakini maswali mawili tu 1. kati yenu kuna anayejua au alifuatilia kujua mgogororo wa kibonde na wanafunzi wa vyuo vikuu nini chanzo? 2. Je aliyoyasema kibonde kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu yana ukweli au uongo kiasi gani?

Ni uongo wa kisanii hauna takwimu wala sababu za msingi
 
vita ya kibonde dhidi ya wasomi..... Tatizo kibonde ccm ndo mana hajali masuala yenye maslah kwa taifa....
 
Hivi mtu ambaye hajiwezi 'slang' yake si 'kibonde' kweli? Ili neno limetokana na yeye nini?!
 


Yaaani wewe ni KIAZI kweli kweli au ni KIBONDEEEEE zaidi ya huyo kibonde.
Nani aliyekwambia Walimu, watangazaji na mapolisi ni failures... huo utafiti wako umeufanyia wapi... I wish ningejua taaluma yako.. Na nyie ndio mnafanya elimu ya Tanzania inazidi kuwa chinii.... Shame on you.
 
Unajua kwa kumdiscuss apa mnampandisha chati?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…