Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Te te te kibonde kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neggirl huyo ni mwenda wazimu kabisa. Yaani umenipre empty yoote niliyotaka kumwambia mshenzi huyo. Unaweza ukapata division one lakini ukapenda kuwa mtangazaji na ukaamua kuusikiliza moyo...
Nafikiri Kibonde ni Mtangazaji BORA kwa sasa hivi Tanzania.
Mtangazaji ni lazima watu wakuongelee sana.
Haijalishi kwa mabaya au mazuri. Kibonde kila siku mnamtaja, duu!!! Jamaa kweli yuko juu.
Bahati mbaya/nzuri kijijini kwetu huku Sikonge, hii Radio haifiki.
Yo Yo mzima? Nilisikia Polisi wamekuweka Lumpango!!!! Polisi anamkamata SOULJah Boy???
Wewe mnyamwezi nini?
Kumbe na yeye ni muathirika?
kumbe na yeye ni muathirika?
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde
Mta mshusha mwenzenu SIDII NNE bure kasha muanze kuripYaleteni basi hayo matokeo humu ndani!! Hilo litakuwa fundisho na kwa wengine!
Ni sawa mkuu lakini elimu ina msaada wa ziada kwa mhusika japo sisi yetu imeharibiwa na ndio maana huwezi jua nani ni nani!Experince nayo shule. Mchukue mwanafnzi aliyemaliza Bcom Markerting mwambie atengeneze tangazo mpe na kibonde atengeneze halafu waambie walirushe redioni. Nani msomi?. Makaratasi yenu ya maksi yawekeni tu kabatini tafuteni hela.
Ni sawa mkuu lakini elimu ina msaada wa ziada kwa mhusika japo sisi yetu imeharibiwa na ndio maana huwezi jua nani ni nani!
Chukulia mfano wa tangazo lile la timu ya taifa ambalo nadhani ni Kibonde mwenyewe aliyelitengeneza,anaongea kama kwamba Taifa Stars inaenda Morocco, Ivory Cost inachukua tu points. Sasa angalia upotoshaji huo umeishia wapi kama sio kutugharimu sote