Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Yawezekana nikawa nyuma ya wakati au wenzangu mkawa mmeniacha pengine kutokana na mazingira niliyokuwemo sikuwa na mawasiliano...... Huyu kibonde amefanya nini hadi yote haya yamkute na wewe ucheke sana!!!!!!!!

Nawasilisha.
 
Yule jamaa anajidai anajua kila kitu,ni halali yake,anachonga sana.
 
Lo minded,unajiita greater thinker!! You are nothing my friend,why unatudharau walimu? Sisi sio failure.
Yupo sahihi kwa sababu yeye hana hata darasa moja hivyo hajawahi kufundishwa na walimu.Ni aina ya watu ambao wakijiona wanakazi za kupokea rushwa wanadharau wenzao
 

mkuu tena atutake radhi walimu, kwan hao wanaopata div 1 wanafundishwa na nani?
Pumbav huyu.
 
Watu wanamna hii mara nyingi huongea saaana ali hali performance ni zero darasani
 
tuwe wakweli tu, waalimu wengi wa shule za msingi ni wale waliopata division three za kuning'inia na division four. Kwa walimu wenye degree wengi wana principles ndo maana wakachaguliwa kujiunga na vyuo vikuu. Hivyo kwa viwango vyetu wamefaulu. Mapolisi huko ndo balaa wajemeni kwani wengi ni division four wa point 28 hadi 30, watoto wa kambini madhara yake tunayaona mahakamani kwani uelewa wao mdogo na hivyo upelelezi wao duni. Kesi zao zikienda mahakamani wanashindwa. Kwa sasa wanafikiria kuajili darasa la saba kwani hawataki form six wanawasumbua....basically, jeshi la polisi tanzania wengi ni mbumbumbu
 
kibonde kiboko yao....!!
endelea kubondesha ng'wanawane mpaka wakukome kukufuatafuata wazabinazabina wa jf.
kwani kubandika matokeo yake hadharani inamzuia yeye kuwa kibonde..?
kwani kubandika matokeo yake hadharani inampunguzia nini katika ajira yake..?
wasio na kazi na majukumu ya kufanya ndo wanaoweza kuanza kufuatilia ISHU za watu, na kama mtu ana kazi na shughuli zake hawezi kuwa na muda mchafu wa kufuatilia ishu kama za kibonde na wengineo....!!
hongera kibonde endelea kutupa vitu kupitia Klaudz EfuuuuuEmmmm................!!!!
 
Yawezekana nikawa nyuma ya wakati au wenzangu mkawa mmeniacha pengine kutokana na mazingira niliyokuwemo sikuwa na mawasiliano...... Huyu kibonde amefanya nini hadi yote haya yamkute na wewe ucheke sana!!!!!!!! Nawasilisha.
kaka kiswamp!......hv huyo ki-depression hayuko JF?
 
Wewe hujiulizi "kwanini kibonde tu na si wengine"?
 
halafu wachukue zako?
 
Ukijikweza ilihali you are a nobody watu watakushusha tu, heshimu wengine bila kujali wewe uko wapi coz kazi yako hainisaidii mimi chochote na watu ukiwaboa ndo hayo ya kibonde coz watu wanataka background yako ili wajue umejiamini nini hadi uropoke hadharani, wewe jikubali kwanza na usijikweze kwani UKIWA KIAZI WEWE NI KIAZI TU HUWEZI KUWA MHOGO AU GIMBI HATA KAMA WOTE MKO CHINI YA ARDHI
 

Msamehe msemaji wao gigirl...kwa maana imeandikwa ataropoka mpaka mwisho wa pumba zake....aliyekwambia Walimu..Polisi .watangazaji wanaongoza kufeli nani???
upload matokeo yako then tulinganishe na yangu....ebhooo
 
Kibondeeeeeeeee..

Angalieni Majina mnayowapa watoto wenu
 
Kumbe walimu ni watu waliofeli duh basi mimi simpeleki mtoto shuleni kufundishwa na walimu.Hama Leonardo wewe msomi kwani ata FAILURE umetuandiki FALURE teh teh.
 
dah nimejifunza kitu kwa sababu naona ndani ya suala la kibonde kumetokea suala la ualimu na upolisi...una lolote muulize roma koz alishasema n kimbilio la waliofeli....no coment hutaki kiburi ....bt ishu kubwa sasaiv hawaangalii division wanaangalia pesa tu..shule daraja
 
Kwani uogo?walimu na mapolisi wengi wako huko sababu ya matokeo yao ni si kwa sababu ya utashi wao..em out!
 
Jamaa walikuwa waongo mbona hakuna aliyediriki kuscan matokeo ya kibonde na kuyaweka humu?
 

Neggirl huyo ni mwenda wazimu kabisa. Yaani umenipre empty yoote niliyotaka kumwambia mshenzi huyo. Unaweza ukapata division one lakini ukapenda kuwa mtangazaji na ukaamua kuusikiliza moyo...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…