Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

Status
Not open for further replies.
Neggirl huyo ni mwenda wazimu kabisa. Yaani umenipre empty yoote niliyotaka kumwambia mshenzi huyo. Unaweza ukapata division one lakini ukapenda kuwa mtangazaji na ukaamua kuusikiliza moyo...

kwel kabisa like
 

Wewe mnyamwezi nini?
 
Siyo Mnyamwezi tu ila ni zaidi ya Mnyamwezi maana ni MWANANGWA. Mjukuu wa Mwanangwa mwenyewe Mapalala

Una shida na hilo? Ndiyo maana najiita SIKONGE kwa sababu ni PURE M-SIKONGE.
Wewe mnyamwezi nini?
 
Watu bwana ukiwachoza, utashangaa hata mambo yako ya chumbani yamewekwa sebuleni.
 
ndo ivo jamani jamaa anadhani umaarufu wa radion ndio alete kwa wasomi kama udsm wamemkomesha
 
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde

Alisomea wapi?
 
Experince nayo shule. Mchukue mwanafnzi aliyemaliza Bcom Markerting mwambie atengeneze tangazo mpe na kibonde atengeneze halafu waambie walirushe redioni. Nani msomi?. Makaratasi yenu ya maksi yawekeni tu kabatini tafuteni hela.
 
Experince nayo shule. Mchukue mwanafnzi aliyemaliza Bcom Markerting mwambie atengeneze tangazo mpe na kibonde atengeneze halafu waambie walirushe redioni. Nani msomi?. Makaratasi yenu ya maksi yawekeni tu kabatini tafuteni hela.
Ni sawa mkuu lakini elimu ina msaada wa ziada kwa mhusika japo sisi yetu imeharibiwa na ndio maana huwezi jua nani ni nani!
Chukulia mfano wa tangazo lile la timu ya taifa ambalo nadhani ni Kibonde mwenyewe aliyelitengeneza,anaongea kama kwamba Taifa Stars inaenda Morocco, Ivory Cost inachukua tu points. Sasa angalia upotoshaji huo umeishia wapi kama sio kutugharimu sote
 

Ungekuwa umesoma Markerting ungejua maana ya matangazo kama hayo. Ushakaa na kujiuliza kama matangazo yana ukweli wowote mfano Sigara '' HAYA NDIO MAISHA'' Vijana wawili watanashati mme/ke je wavuta sigara wana misha kama hayo?
 
mananichekesha sana kama anadii nne si zake?

na kama amefanya upuuzi ang'olewe kucha tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…