matokeo ya kidato cha 1V shule zenye majina ya viongozi

matokeo ya kidato cha 1V shule zenye majina ya viongozi

Ukiwa kama kiongozi,jina lako likitumiwa kw shule,make sure shule inakuwa na tija na sio shule zenye majina ya viongozi ndio zinakuwa mkiani,hii ni mbaya sana.

viongozi wepi? hawa akina m.kwere?
 
S2819 philip marmo secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 10 div-iv = 57 fld = 57
 
viongozi wengi ni vilaza hivyo hawana mwamko na hamasa ya kukazia mwenendo mzima wa taaluma katika shule zinazobeba majina yao....
waaaaiiii!!!!na hiyo shule ya mkuu wa nchi ndio buuure kabisa ka yy mwenyewe:frusty:
 
Lengo la hizi shule kupewa majina ya viongozi ni ili kuwafanya viongozi hawa kuwa karibu na shule hizi ili kuziendeleza kiubora na kiufanisi.badala yake ndio haya tunayoyaona.
 
hii ni changamoto kwa viongozi wetu ambao taasisi za umma hasa shule zimepewa majina yao ikiwa ni ishara ya heshima.
 
Ukiwa kama kiongozi,jina lako likitumiwa kw shule,make sure shule inakuwa na tija na sio shule zenye majina ya viongozi ndio zinakuwa mkiani,hii ni mbaya sana.

nlitaka kukupa like lakini nlivoona avator yako nkachomoa.
 

s2650 dr.a.m.shein secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 14 fld = 26


S1812 ISDORE SHIRIMA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 0 DIV-IV = 12 FLD = 40



S0921 DR SALMIN AMOUR SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 3 DIV-III = 6 DIV-IV = 74 FLD = 120


S2022 MRAMBA DAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 1 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 45 FLD = 36


S0817 PAUL BOMANI SECONDARY SCHOOL DIV-I = 1 DIV-II = 2 DIV-III = 8 DIV-IV = 67 FLD = 37

[h=3]
S1673 NICODEMUS BANDUKA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 8 FLD = 33 [/h]
 
Back
Top Bottom