tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
- Thread starter
-
- #61
Duduwasha Sec School div-i = 180 div-ii = 5 div-iii = 0 div-iv = 0 fld = 185
New Record
Ukiwa kama kiongozi,jina lako likitumiwa kw shule,make sure shule inakuwa na tija na sio shule zenye majina ya viongozi ndio zinakuwa mkiani,hii ni mbaya sana.
Ukiwa kama kiongozi,jina lako likitumiwa kw shule,make sure shule inakuwa na tija na sio shule zenye majina ya viongozi ndio zinakuwa mkiani,hii ni mbaya sana.
watoto walikuwa wanajibu pepa kwa kutumia masaburi...siyo bure