Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Hilo la NECTA halinishangazi sana kwani nimewahi kushuhudia baadhi ya wanachuo(tena chuo kinachoheshimika nchini) wakipewa alama za juu kwa sababu tu ya kabila lao ingawa uwezo wao wengi ulikuwa chini sana eti kisa mwalimu ni kabila lao!Hata waliopewa hizo alama walikuwa wakishangaa na kuona aibu!Nakumbuka hata wakati wetu nilikuwa na uhakika wa one 4m 4 lakini nikabandikiwa 2 kisa watoto wa wajanja Dar waliiba mitihani ikatuathiri hata sie tulio pembezoni wakisema eti standardization(upuuzi mtupu!)Tangu wakati huo naona elimu yetu ni kama kiini macho tu ingawa utawona watu wengi wakitamba eti na CVs!badala ya matokeo ya elimu zao!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mwaka ambao Mama ndalichakoo Alifanya maamuzi magumu mnoo...!! Aisee Cheti changu kuwa na saini ya yulee mama miaka ilee ilikuwa kweli umefanyaa kazii....
 
Back
Top Bottom