Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Masahihisho: Waliopata ZERO ni 68.1% na sio 60%.

Alisema watahiniwa wa shule (school candidates) walikuwa 397,136 sawa na asilimia 96.57, miongoni mwao, 14,090 sawa na asilimia 3.43 hawakufanya mtihani huo kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo utoro, ugonjwa na vifo.


Ufaulu kwa madaraja
Kwa mujibu wa matokeo hayo, watahiniwa waliopata daraja la kwanza ni 1,641, wavulana wakiwa 1,073 na wasichana 568, daraja la pili ni 6,453, wavulana wakiwa 4,456 na wasichana 1,997.


Waliopata daraja la tatu ni 15,426, wavulana 10,813 na wasichana 4,613, waliopata wa daraja la nne 103,327, wavulana 64,344 na wasichana 38,983 huku waliopata sifuri wakiwa 240,903, wavulana 120,664 na wasichana 120,239.
Kwa watahiniwa wa shule(school candidates) walikuwa 397,136, I=1,641, II=6,453, III=15,426, IV=103,327. Jumla ya I-IV=126,847; Hivyo basi Zero ni 397,136 - 126,847=270,289. Hivyo asilimia ya ZERO ni 68.1. Ukichanganya ZERO na IV ni asilimia 94.1, ikiwa na maana kuwa waliopata I-III ni 5.9%.

 
Ndugu wana jamvi, yeyote mwenye link ya kuweza kupata matokeo ya form four noamba aniwekee hapa, website ya NECTA haifinguki kabisa.

Natanguliza shukrani
 
ingia kwenye jamii forum searc engine andika breaking news matokeo ya kidato cha nne yatoka
then utakuta link inayofingua kwa wepes
 
Inasikitisha kuona watoto wanazidi kufeli siku hadi siku na serikali haioneshi jitihada zozote za kujinasua katika janga la kuwa na waliofeli wengi, ninasikitika sana kwa maana wasomi tulio nao ndo hao wanazeeka na tunaowategemea wanafeli mpaka kero, serikali yetu lini mtaamka na kuona sekta ya elimu ni bora?
 
kama matokeo n mabaya kiasi hiki Shukuru na mwenzie Mulugo wanasubiri nn wizarani? jamani hata nyie ni mashahidi darasa la saba hoi, form two hoi, form four hoi kabisa hasa katika shule za kata kwa nn wasijiudhuru?

Wazo; Mi nafikiRI kwa hali hii hata ccm nao wanapashwa kujiudhuru, wawapshe wengine kwani hakuna maendeleo bila elmu.
 
There are currently 7856 users browsing this thread. (334 members and 7522 guests)
 
Amka kwanza wewe ndo serikali itaamka wewe kama umewaweka majambazi madarakani unategemea akupe akili ili umuondoe...Amka wewe upambane kwa damu kwa maji kwa usaha mpaka wezi watakapo kimbia nchi na sio vinginevyo
 
Kama mpaka leo Kiongozi wa Ccm kama Nape na mawaziri wanaweza kusimamisha watu tena watz na wakasikilizwa unategemea nini?Ni sawa na paka anayekula panya kila siku huku panya hao wakimkimbia mchana lakini usiku paka huyohuyo huitisha mkutano na kuwahutubia panya hao kwamba hatawatafuna tena huku akiwa hana chakula kingine isipokuwa panya hao na wao humwamini na kumshangilia
 
Kwa mtazamo wangu sababu za matokeo kuwa mabaya ni hizi;

Mwaka 2006/2007 serikali iliongeza vyumba vya madarasa (nadhani ni MMES, na kuwalazimisha wananchi wachangie) badala ya kuboresha elimu kwa vitabu, maslahi mazuri kwa walimu na vitendea kazi.

Kukua kwa teknolojia/utandawazi. Miaka ya 1998-2006 Wanafunzi wengi hawakutumia sana vitu kama simu za mkononi na intaneti ilikuwa mpaka uende kwenye internet cafe. Lakini baada ya mwaka 2008 na kuendelea ni rahisi kukuta mwanafunzi wa kidato cha pili anapoteza zaidi ya masaa matatu kwa siku kwenye mtandao. Na vitu anavyovifanya ni mitandao ya kijamii, gaming, watching movies, music etc. Kwa sababu gharama ya internet imeshuka mno. Siku hizi ukipanda kwenye daladala ni kawaida kumkuta mwanafunzi wa sekondari ana smartphone ya gharama kubwa mpaka ukashangaa. Na usiku utakuta mwalimu na mwanafunzi wake wako wanachat facebook. Teknolojia kama ingetumika vizuri wanafunzi wangeweza kupata material zaidi na tutorials kwenye mtandao lakini haitumiki ipasavyo. Vitu vingi ambavyo wanafunzi wanaona kwenye media/movies/music/shows za nje(hususani usa) wanadhani ni kweli wanataka kuiga hivyo.

Kitu kingine ni walimu kufundisha maswali. Haya matokeo hata kwa shule za binafsi zilizokuwa zinafaulu sana siku za nyuma kuna div ones chache sana. Hii ni kwa sababu wanafunzi wanatumia zaidi vitabu vya maswali na majibu, utakuta kitabu kimoja cha somo la english cha maswali na majibu cha 100pgs kinasummarize riwaya kumi ambazo mwanafunzi anapaswa azisome, matokeo yake yakija maswali ambayo hajawahi kuyaona hawezi kujibu the same goes to Kiswahili as a subject. Vitabu vya muundo huu vinapendwa sana na wanafunzi lakini inatakiwa mwanafunzi avitumie kama kujazilizia baada ya kusoma vitabu vinavyotakiwa na kufundishwa na mwalimu ipasavyo.

Jambo lingine ni wazazi kuwaachia wanafunzi kukaa kwenye 'maghetto' karibu na shule ili kuepukana na adha ya usafiri na kusoma na classmates wengine. Lakini wanafunzi wengi wanaabuse ruhusa hii waliyopewa na wazazi wao matokeo yake badala ya mwanafunzi kupoteza masaa mawili kwenye daladala, anapoteza masaa nane kwa siku kufanya ujinga na wenzake ghetto. Ni rahisi mno kuwaona underage kwenye nightclubs na matamasha ya muziki wakiwa wamevaa nguo za ajabu ajabu.

Matokeo ni mabaya mno na turning point ilikuwa ni 2006/2007 kuongeza vyumba vya madarasa bila walimu na vitendea kazi. Kama taifa tutalipa kwa matokeo haya na tutalipa kweli kweli kwani kati ya 400k wanaoenda a level ni 20k, je kati ya waliobaki ni wangapi wataendelea na masomo? Matokeo ya standard seven walichukua watoto waliopata 20% ya marks kwenda secondary je hawa 2016 muda ambao tablets zitakuwa zimeshuka bei kila mwanafunzi anayo wangapi watapata div I-III?
 
Issue ni seminari au mabucha? Wamiliki wao ni waturuki. Una swali la ziada?

Mosi:Hoja ilikuwa kuhusu matokeo ya seminary ya kiislamu na wewe ukaleta issue ya kulinganisha na Feza ambayo sio seminary ya kiislamu bali ina wanafunzi wengi sana wasio waislamu
Pili: Ni vizuri umeelewa mmiliki ni wa kutoka nchi gani
Tatu: Asubuhi njema
 

Hali ni mbaya, watu hawaamini na kazi hazifanyiki.



There are currently 9061 users browsing this thread. (377 members and 8684 guests)
kyanaKyoMuhaya, MRSH, Mdefede one, mwanakungumbala, rimoy, andybird314, Babkey, Ben Mugashe, kwamagombe, loopmo, alvin minja, vanmedy, idawa, LORIN, Gilbert F Mosha, Ngarenaro, Ezekiel Bajana, amosmasawa, zindouna, Ncha, trity, nkure, Gedeli, Hhado, Ismailsimba, pessa, janebhoke, mutisya mutambu, Phares, TOWNSEND, Kurwa Mkanza, Buswelu, JOHN NYAMONGE, Ni ushauri tu, Silvano, Amri kuu ni Upendo, Erick jimmy belton, kapongoliso, Arold, David Mrema, Jidu, Isalia, yorck mlabwa, Rayase, Maneno mengi, majengoboy, solex, sikuyaja, kastizo zoo, pamt, LEPATA, javascript, Mibsmina, Pawaga, Nawaillah nurdin, Mapunda J, lonka, GreenCity, Bihigi, Common R, msoffec, kasiwani, viclaudy van paul, Rajab S Gewa, morson kisanga, mwanyani, Sambwisi, hydle, erick swainel, ayesha, Mufiyakicheko, Ka2wa, ERNEST S. LAIZER, Kaby, barakaisbaraka, Mkiliman, CHIEF MN, Sir kiba, andrewk, innocent19814, SHAMD, CNN, mugayasida, MKALIKENYA, Shaibu Hamis, Antagn, Kanjunju, Sina pa kwenda, losindilo, chotarasukari, Amani Nyekele, Ziroseventytwo, Abacharles, sinani, kallitary, Jaguar, dist111, kivutiri issa, kasingo, Dio, regginald, Giddon, George Kapinga, Charles kalisti, mtunyeni, KEBELO, Lily Flower, iznama amanzi, Vodka, Limited Edition, Mediator, S.HUSSEIN, yohana mnanka, Mponjori, mbayaaa, Trance M, Hosiana kiwelu, Juma nchasi, 1982, THOMASO, ashraf, MotoYaMbongo, Nellyonjolo1, cmfkajura90, siwao sukari, jjuniour82, bhusokelo, LiverpoolFC, Eli John, john tongo, Piere. Fm, mjanj, Rukki Rikka, Sody, ozunuh, JERUSALEMU, buset, mwido, JingalaFalsafa, kapyu, Mwita Maranya, Nyangomboli, Mchaka Mchaka, OKW BOBAN SUNZU, kilambamwiko, BigFish Classic, mookoro, JOSHUA SHUSA, BENISON, WAHEKE, Malolella, santiago01, kwel2, bhayboy, PRICEOMY, jnagunwa, Mzi2 Mpole, NSENENE KATIKOMILE, MWAMBELA, pc bada, proffessor, Masayi77, mfalmee, Green Viper, Baba Lucky, Mfwalamanyambi, Luluka, masangwa, Tona six, Hawa Ramadhani, WALIMWEUSI, Triple G, Jafar M Kiganza, Joseph tawete, Ntiga, Mwalukunga, yohanamkonyi, anania kivuma, Lucky Man, kinai, mjombakaka, sumni7, Xidian, Ngoka igenge, mwamko, arafat mzee, Eberhard, Lawize entertainer, Cantona severin, Dr mashamba, Gwamahala, Makene, Ochulee, john hotsam da1, Mwalajr, babayah67, Deo bony, mwaxxxx, wejja, Idd chaly, Seif Chichiry, PakavuNateleza, mjuaji, wijei, MFINANGA HEMED, Daniel George, siame jg, CUDARCY, hsamanya, Bushbaby, saadmad, AcinonyxJubatus, Tope, Ng'wale, Mwabalogile, Kimbori, kifaruhande, J.K.Rayhope, katefu, Aman Jaxon, KIMBWANGAI, Trisha Benjamin, Keren_Happuch, kyando-naomy, Asterisk, Abdul amier, Pilo boy, bilia, SASTONI, +255, sembo, ch1cha, Kivule, Sassebossa, investa.tz, TAJIEL URIOH, adobe, Amlima, Ilanga Jr., ludewa, GEORGE ONYANGO, RealMan, 2015, ngukah, kaka miye, Bry71, Ocaino, wanchili, chen, Architect E.M, salmak, Molemo, gmbl1956, Laurean Mseya, dancani, summa, Mpeta, Mtukati, businezz_oligarch, LUSHAGYA, great vision, zimbwe, fisadimpya, Pukudu, Jamsuldash, Avatar, PAULO Z. MPEMA, Masimbwe, master gland, kuringe, jonaleemanson, leonatus, Abel Kamugisha, Bokohalamu, Granton, liwamba, CHILOKOTI, EARPHONE, Adammwangole, Bs Zungu, majala, kivyako, Sam Upendo, kalumuna, anjnr, Msomi njaa, gbrother, Gold Addict, msomi kweli, Chego Daniel, Amanda, Mungi, rizikicr, mwelimishaji, Cipro, GODFREY STEPHEN, Ambitious, Ally bin shaib, Makala Jr, red apple, Bagrameshi, Samkam, makule, mushwabure, baghdad mchumiatumbo, Junior MC, vaspanya, zeinabu, mwasipenjele, tizo1, KATUMBACHAKO, Annel Shanga, aloyce1982, mitutwe pazi, niyimenya, josaya, Geofrey_1, Mwang'ingo, Prince Ortega, sumbui, Lyimo Sway, scatter, Jbc, Faisal94, Erick1, abuu akram, kitomari2, Daudi Mwakisale, Fasouls, Fin, dickson longo, kijiichake, Yusuph p. Kisunzu, OMUSILANGA, mgumu2, Perry, E.Matumba, Allied, CHIGANGA, 39MSANGI H., Nchumbe Raia, sad, Sammyhvn2, Nedism, Mayeka, frederickbronx, Junior Recture, NDEKUYO, Sir H, nangundu, Ngayapa, mkakia, MARO BM, kyarwazi, Septemba11, Omary haruna hida, Robert J, Planner, Issa O Issa, Ashoboza Kabalim, mseveni, Tidito L, Honoratha, mtafutajihodari, Activist p, THE GREAT CAMP, tepho, zakayoolle, Mr.Busta, Tsaxara Hano, O master, ABDUL KITAMBAZI, Bernard meinrard, Juma Zullu, nziriye
 
Ili kupunguza ukakasi wa majina ya watoto wa wakubwa kama mwaka juzi na jana mkuu ameamlisha waandike number zao sio majina yao....
 
Huna sababu ya kuandika masuala ya kidini kwenye mitandao, kwanin hamtaki kujifunza kutoka kwa wenzenu?
Wakat serekari inatumia nguvu nyng kupinga dhana mbovu ya udini ww eti unashabikia kwa kuandika upuuzi. Ushari wa bure, kwenye mitandao ni kama open space hujui nan atafika na kutoka saa ngapi, acha kusambaza maneno ynye kuamsha hisia za dharau.
nakufananisha na wale wazazi ambao mtoto wako akija nyumbani analia kuwa amepigwa unatoka mbio nakupigana na jirani ??huo ndi ukweli kuwa walikosea sana kuwatetea kuwa wamefelishwa!!
 
Inasikitisha kuona watoto wanazidi kufeli siku hadi siku na serikali haioneshi jitihada zozote za kujinasua katika janga la kuwa na waliofeli wengi, ninasikitika sana kwa maana wasomi tulio nao ndo hao wanazeeka na tunaowategemea wanafeli mpaka kero, serikali yetu lini mtaamka na kuona sekta ya elimu ni bora?
Serikali haina MITAALA ya Elimu......(Mbatia, 2013) .....Toa Ushahidi au Kaa Chini Mheshimiwa Mbatia.......(Ndugai, 2013)
 
Matokeo haya ndo yanayoonyesha hali halisi ya kazi inayofanya na serikali ilioko madarakani.Na ndo mana hata bunge wanataka kulifanyia gizani:A S shade:.Sasa swali je? watanzania mnataka lini kuondokana na ugonjwa huu? au bado hatuuoni kuwa huu ni ugwanjwa ambao hatujui tiba tutaipata lini? Kama tunakuwa na viongozi wasitaka kukosolewa je tufanyeje?
 
Back
Top Bottom