Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

:washing:hallow world in order for any society to develop fast and first changes are not innevitable je kwa matokeo haya tutaendelea?????:frusty:
 
Kuna tume imeundwa eti kuchunguza walimu, kwanini kila kitu walimu mbona hakuna tume ya kuichunguza wizara ya elimu, ina maana walimu tu ndiyo wenye makosa?
 
Hivi mtu akifeli form four anaweza kurudia form two bila matatizo yoyote
 
Yah! Mtaala ndio unaopaswa kubadilishwa, inakuaje mwanafunzi wa kidato cha nne anamaliza hata ajui aanzie wap katika harakat zake za maisha, itakua kufaulu mtihan? Hata kama atafaulu lakin bado hajajengeka kielimu, haya yote ni mtahara mbovu. UBADILISHWEEEE....!!!
 
Madaraja yao walitupangia ndo wameharibu kila kitu nia yao ilikuwa wapate wasom bola sanaaa,sasa walichokitaka wamekipata.
 
by lyimo,
Hii ilikua n kukomoa wtt wco na uwzo p1 na fmlia zao.
Mana wng wao wapo xl za kata wngne hawpt v2 muhm il wpate elm bora.
Serikal muangalie haya.
 
Acha ndotoooo
Usichanye siasa na elimu :screwy: umehakiki au kwakua ni muanga? Qn hivi nekta ni jinga? Why hiwe nyie 2? Akili ya kuambiwa ongeza ya kwako
 
Alie bahatisha kuya download yote atusaidie basi ayaweke hapa tupakue
 
Haya matokeo mimi siyashangai. Badala yake namshukuru sana Ndalichako maana uzalendo wake umemsukuma kuandika ukweli wa mambo yalivyo. Miaka ya nyuma alikuwa akiongeza mkasi na kufanya wanafunzi waonekane wamefaulu na ndio maana iliwezekana: -

1) hata wengine kuingia form one bila kujua kusoma na kuandika
2) Watu walimaliza digrii za uhandisi lakini hawana utaalam wa kujenga barabara mpaka tunakwenda kutafuta wazungu waje kutujengea
3) Madaktari wamemaliza bila kuwa na utaalam wa kutosha wanapasua vichwa wagonjwa wa miguu na kufanya wenye nazo (Kama Zito Kabwe, Mwandosya, Mwakyembe na wengine wengi) kukosa imani nao na kwenda kutibiwa nchi za nje
4) Makandarasi wahitimu wanajenga magorofa yanaporomoka kila mwaka
5) Tumewaachia wazungu kuendesha ofisi zetu za utawala

Nimesikitishwa sana na kikundi cha wanasiasa waliopewa kazi nyeti ya kuchunguza chanzo cha kufeli wanafunzi mwaka jana. Sikushangaa sana walipokuja na mambo yaleyale ya kumlazimisha Ndalichako aongeze maksi ili wanafunzi wapelekwe form five bila kuwa na sifa

Hivi hii nchi tunaelekea wapi?

Ningekuwa na uwezo ningewapa serikali wamachinga wanaojua kudai bei nzuri ya korosho zao na kudai haki yao ya msingi ya kujengwa kwa kiwanda cha gesi Mtwara. Hawa wakipewa serikali watatutoa tulipo na kutupeleka kwenye neema inayoenda sambamba na utajiri wa raslimali zilizopo
 
Back
Top Bottom