Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023 yanatoka lini?

Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023 yanatoka lini?

BakalemwaTz

Senior Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
120
Reaction score
125
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
matokeo kidato cha nne.png


Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.

Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January 2022 kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa kuchelewa though kama yatakua yametoka ni imani yangu tutaweza kuyapata kupitia uzi huu wa JF
 
Nina mwanangu kaenda kwabibi yake kwanza kupunguza presha yamatokeo yake😎😎hajiamini anakondatu😎
 
Ya form two sijui wanatoa lini na shule zinafunguliwa soon tuu, wazazi na watoto inabidi wajue hatma yao màana kuna kurudia nk
 
Back
Top Bottom