BakalemwaTz
Senior Member
- Jul 14, 2017
- 120
- 125
Yataanza form 2 ,then la nne ,habari za matokeo ya form 4 n February
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nadhani umeyaona mkuu.Ya form two sijui wanatoa lini na shule zinafunguliwa soon tuu, wazazi na watoto inabidi wajue hatma yao màana kuna kurudia nk