Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kesho Alhamisi Januari 24, 2019 litatangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018.

UPDATE:

Shule ya St. Francis ya Mbeya yaongoza kitaifa

Screenshot 2019-01-24 at 11.39.19.png



>>> Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran Seminari ya Malinyi mkoani Morogoro baada ya kubaini shule hiyo kuvujisha mtihani huo.

Mbali na kufuta matokeo hayo, Necta imekifungia kituo hicho cha kufanyia mtihani.

Amesema wameagiza wahusika wote kuchukuliwa hatua wakiwemo polisi waliosimamia.

IMG_20190124_130208.jpg


IMG_20190124_130231.jpg


IMG_20190124_130242.jpg


IMG_20190124_130304.jpg


IMG_20190124_130259.jpg


>>> Ufaulu kwa mwaka 2018 umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.

>>> Mwanafunzi Hope Mwaibanje kutoka Shule ya Sekondari Ilboru ya Arusha ameongoza kwa ufaulu matokeo ya kidato cha nne

>>> Baraza limewafutia matokeo watahiniwa 252 wa kidato cha nne kutokana na udanganyifu, 71 wakiwa ni wa kujitegemea

>>> Wanafunzi 351 kutika shule ya sekondari St Mathew na St Marcus wamezuiliwa matokeo yao kutokana na udanganyifu na matokeo hayo yatatolewa pindi NECTA itakapojiridhisha

Matokeo ni haya hapa:

CSEE
LINK 1

LINK 2

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 1

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 2
 
Back
Top Bottom