kiraremapojoni
JF-Expert Member
- Nov 30, 2018
- 391
- 512
feza boys out of 10 bora
S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 99; DIV-II = 26; DIV-III = 10; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
feza boys out of 10 bora
Yaani nimechoka mkuu Feza kukosekana top ten.feza boys out of 10 bora
Thanks mkuu.S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 99; DIV-II = 26; DIV-III = 10; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0
Wanapanga kwa Reg # ya shule mkuu.Hawa watu sijui wataacha lini kupanga matokeo bila kufuata alfabeti.
Unaweza kusoma ila ukawa bado mjinga.
Wanachosha sana.
Hawa huwa wanachukua cream tuu siku zote.HIYO ST FRANCIS YA MBEYA NI SHIDA MIAKA YOTE, NI YA WASICHANA, SEMA HUWA WANACHUKUA WANAFUNZI WENYE UWEZO KWENYE MCHUJO WAO,
Sent using Jamii Forums mobile app
EXAMINATION CENTRE RANKING
SASA WOTE TULIZALIWA MWAKA MMOJA, UTAKUWA KENGE!😀😀😀😀Duu kumbe humu kuna wanafunzi,mitihani niliyofanya miaka 20 iliyopita ndo umeifanya mwaka jana?
Kipindi cha nyuma kuna seminary nilisomaga pale mbeya ndiyo ilikua tunakimbiza nayo hiyo ST FRANCIS ikiwa ya kwanza kitaifa sisi wa pili, hiyo seminry hata mbunge silinde alisoma.Hawa huwa wanachukua cream tuu siku zote.
Kama ni ya Jimbo bila shaka itakua ni St. Mary's Seminary, MbaliziKipindi cha nyuma kuna seminary nilisomaga pale mbeya ndiyo ilikua tunakimbiza nayo hiyo ST FRANCIS ikiwa ya kwanza kitaifa sisi wa pili, hiyo seminry hata mbunge silinde alisoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo seminary pekee MbeyaKama ni ya Jimbo bila shaka itakua ni St. Mary's Seminary, Mbalizi
the Legend☆
Hahahaa[emoji2] ulivyosema tuu ipo Mbeya moja kwa moja nlijua ni MbaliziHujakosea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo seminary pekee Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app