[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwako mwalimu kashashaS3428/0031
M
35
0
CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
Yani Seminary uliyosoma ushindwe hata kutaja jina lake...? wacha fix weweKipindi cha nyuma kuna seminary nilisomaga pale mbeya ndiyo ilikua tunakimbiza nayo hiyo ST FRANCIS ikiwa ya kwanza kitaifa sisi wa pili, hiyo seminry hata mbunge silinde alisoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME
KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME...
Kwani shule ya kikatoliki ipo hiyo tu mkuu mbona nyingi sanaKANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME...
Tuitikie wote...Nasadikiii
Vipi mkuu?
#WAHUNI SIO WATU WAZURI
Kufeli Form 4 sio mwisho wa maisha! Kuna watu wengi wenye mafanikio makubwa na walifeli ovyo! Mwambie dogo atafakari ni nini kinacho mfurahisha kusoma na kazi gani inampa raha. Yaani agundue kipaji chake ni kipi??? Halafu msaidie kujenga ile kipaji, na hela zitamfuata.
Wataweza vipi wakati walimu walio wengi wanafundisha wasichokijuaKwa hyo kama taifa lengo letu kila mwaka ni kupima ufaulu tu?Mwaka mwingine ningependa pia mtuambie vijana wetu wa kidato cha NNE katika kipindi chao cha miaka minne shuleni wameweza kuvumbua abc.ufsulu umeongezeka ndo kitu gani?
Naye huyu alukuwa anasomaS3428/0031
M
35
0
CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
Haya ni matokeo ya kawaida kabisa katika shule za kata za CCM, wala sio ajabu hata kidogo.S3428/0031
M
35
0
CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
Waislamu na Wasabato wao ni kutujazia masifuri kwenye hii nchiNdugu zetu wa upande wa pili ( waislamu) hakuna shule walioingiza top ten...
Hiyo shule ya Mbeya
Serikali inatakiwa iende kujifunza kitu huko
Mara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamiiYeye kasema shule zilizoongoza ni za wakatoliki...hajasema waliokuwa wanasoma huko ni wakatoliki...but tangu lini wale wenzetu wa dini nyingine wameanza kupeleka watoto wao kwenye shule za wakatoliki(makafirii)..but kuna dini flani huwa inashule zake na huwezi kuziona zikifanya vizuri labda mikiani huko ndo utaziona... sjui wanakwama wapi...but hata ukiangalia hayo majina ya wanafunzi walioongoza utagundua karibu wote wanatoka dini flani
Hapo nimelipa sifa Kanisa Katoliki kwa kuwa kinara wa elimu Duniani
Hahaaah ndiyo mkuu but tukiwaambia ukweli wanapanick..wenyewe huko shule kazi ni kupandikiza chuki tuMara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamii
Kwako mitale na midimu
Kama ulikuwa hujui wanaokwenda KIBAHA ,MZUMBE ,ILBORU asilimia 90 ni hawa hawa wanaotoka shule za private kwa ufaulu wao mzuri wa ngazi ya kidato cha nne.Hizi utaziona matokeo ya wakubwa waliopevuka advanced level...achana na hao wafanya biashara wanapeana majibu
Sent using Jamii Forums mobile app