Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Huu msemo tusiukariri sana
Kufeli Form 4 sio mwisho wa maisha! Kuna watu wengi wenye mafanikio makubwa na walifeli ovyo! Mwambie dogo atafakari ni nini kinacho mfurahisha kusoma na kazi gani inampa raha. Yaani agundue kipaji chake ni kipi??? Halafu msaidie kujenga ile kipaji, na hela zitamfuata.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kwa hyo kama taifa lengo letu kila mwaka ni kupima ufaulu tu?Mwaka mwingine ningependa pia mtuambie vijana wetu wa kidato cha NNE katika kipindi chao cha miaka minne shuleni wameweza kuvumbua abc.ufsulu umeongezeka ndo kitu gani?
Wataweza vipi wakati walimu walio wengi wanafundisha wasichokijua

Chagua kusuka au kunyoa
 
Wakati shule za kidini zikizidi kuchanua kila mwaka haya majizi ya CCM yanakuja na mkakati wa kuzivuruga shule binafsi ili zifanye vibaya kama shule za serikali ya CCM. Inauma sana. tena sana.
 
S3428/0031

M

35

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
Haya ni matokeo ya kawaida kabisa katika shule za kata za CCM, wala sio ajabu hata kidogo.
 
Yeye kasema shule zilizoongoza ni za wakatoliki...hajasema waliokuwa wanasoma huko ni wakatoliki...but tangu lini wale wenzetu wa dini nyingine wameanza kupeleka watoto wao kwenye shule za wakatoliki(makafirii)..but kuna dini flani huwa inashule zake na huwezi kuziona zikifanya vizuri labda mikiani huko ndo utaziona... sjui wanakwama wapi...but hata ukiangalia hayo majina ya wanafunzi walioongoza utagundua karibu wote wanatoka dini flani
Mara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamii

Kwako mitale na midimu
 
Hivi haya matokeo ambayo kila mwaka tunaambiwa yamepanda kwa asilimia kadhaa mbona hayajawahi kuzidi 100%??? MaCCM yanajitekenya na kucheka yenyewe, mapuuzi kweli. Serikali ya CCM imewaelekeza NECTA kutunga maswali mchekea kama haya hapa chini lakini bado wanafunzi wa shule zao za kata wanafeli:
1548358991022.png
 
Mara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamii

Kwako mitale na midimu
Hahaaah ndiyo mkuu but tukiwaambia ukweli wanapanick..wenyewe huko shule kazi ni kupandikiza chuki tu
 
Back
Top Bottom