Kweli KBS kuna private ya kisabato huku 1- 0, 2-6 , 3-20 iv 53 na 0- 39 ni aibu imezdiwa na ya kata ya Elimu bure. Hyo shule kila jioni wote wanapigwa usabatoTunamshuku Mungu kwa kutupatia JF....Maana huku tutatoa tahadhari mapema wazazi na walezi wasithubutu kupeleka watoto kwenye shule za Kisabato....
Huko kumejaa ngono na makambi ya kufundishia ngono
Hahahahaha.....aiseeeemama mmoja jirani kila akiniona anashukuru kwa watoto wake kusoma shule za kisabato licha ya yeye kuwa mkatoliki.
Matokeo hupangwa kwa kufuata center number, hiyo huondoa ambiguities zinazoweza kutokea ikiwemo shule kuwa na majina yanayofanana nk. Ukianza kulaumu bila kujua sababu unaweza kuonekana mjinga[emoji28] [emoji28]Hawa watu sijui wataacha lini kupanga matokeo bila kufuata alfabeti.
Unaweza kusoma ila ukawa bado mjinga.
Wanachosha sana.
Kilichokuwepo awali sicho kilicho sasa. Pia usipende kudandia usivyojua.Matokeo hupangwa kwa kufuata center number, hiyo huondoa ambiguities zinazoweza kutokea ikiwemo shule kuwa na majina yanayofanana nk. Ukianza kulaumu bila kujua sababu unaweza kuonekana mjinga[emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
We darasa la saba unakosoa wasomi, nenda shule kwanza.Kilichokuwepo awali sicho kilicho sasa. Pia usipende kudandia usivyojua.
Utakuja kudandia waume za dada zako.
Wasomi hawakosolewi huko kwenu. Na huo utamaduni wa kushindwa kukosoa utakuja kuinamishwa kwneye ofisi za watu kwa kupigia goti usomi wao.
Mmenye bila shakaAsante sana Dogo wa ilboru.
Ndiyo inawezekana Mkuu!
Mimi ninaye ninamjua Mwalimu wa Shule alisoma Shule niliyosoma mimi akapata Zero baadae Karejea Mtihani baada ya mwaka Mmoja tu akapata III kaingia Advance na Sasahivi Ana Bachelor ya Education anasomesha somo la Biology Sekondari moja hapa nchini.
Kuna mmoja Yeye Hii wiki iliyopita Kadefend PhD yake ya Psychology wakati Alikula Zero FIV akarejea Mtihani akatoboa na Kuingia Advance, then Kasoma Bachelor of Arts with Education Kasomesha English & History, Then Kagonga Master, sasahivi Kamaliza Kudefend Research Yake PhD.
Kwahiyo usishangae kuona Maprofessa hawa tunaowashuhudia TZ wamepitia mengi.
Nilikuwa nakuelimisha, pia najua ngumbalu silaha yenu ni matusi tu, huna hoja endelea na mitusi yako hainipunguzii kitu. Nasisitiza nenda shule!!!Wasomi hawakosolewi huko kwenu. Na huo utamaduni wa kushindwa kukosoa utakuja kuinamishwa kwneye ofisi za watu kwa kupigia goti usomi wao.
Kinyesi cha kitimoto.
Wasomi ni watu gani hadi wasikosolewe?
Shule ni uwanja mpana wewe kitimoto. Niende kusomea upangaji wa matokeo?Nilikuwa nakuelimisha, pia najua ngumbalu silaha yenu ni matusi tu, huna hoja endelea na mitusi yako hainipunguzii kitu. Nasisitiza nenda shule!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaharibu kazi za watu wewe! Achana na maneno ya kuambiwaNimeandika hapo st Marks Sekondari School jirani yangu ni mlinzi hapo na alinielezea vyombo vya dola vililishughulikia hilo suala lilipo jitokeza maana alikuwa zamu getini.
Mtoto ana Div I ya 15, unaanzaje kumwita kilaza???Wamevunja rekodi aisee One pointi 7 zipo 41 na hakuna aliyepata Div 2 wote Div One...Yaani KILAZA kapata One ya 15
Kwa iyo tufanyeje? Na juz tena mlituambia kuna mwngine sijui Malawi ,au msumbiji naye muhaya kawa Wa kwanza? Semen point yenuKweli hii ni intelligence ya kurithi naona majina ya kagemulo,karugwa,kibani,atu nk yamejaa top tenView attachment 1004986View attachment 1004987View attachment 1004988
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilaza wa hapo ndio ana Div 1 .15 yeye ndio wa mwisho , katika mashindano hata wakishindanishwa wakali lazima kilaza atakuwepo!! Kilaza = Wa Mwisho.