Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Tunamshuku Mungu kwa kutupatia JF....Maana huku tutatoa tahadhari mapema wazazi na walezi wasithubutu kupeleka watoto kwenye shule za Kisabato....

Huko kumejaa ngono na makambi ya kufundishia ngono
Kweli KBS kuna private ya kisabato huku 1- 0, 2-6 , 3-20 iv 53 na 0- 39 ni aibu imezdiwa na ya kata ya Elimu bure. Hyo shule kila jioni wote wanapigwa usabato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu sijui wataacha lini kupanga matokeo bila kufuata alfabeti.

Unaweza kusoma ila ukawa bado mjinga.

Wanachosha sana.
Matokeo hupangwa kwa kufuata center number, hiyo huondoa ambiguities zinazoweza kutokea ikiwemo shule kuwa na majina yanayofanana nk. Ukianza kulaumu bila kujua sababu unaweza kuonekana mjinga[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo hupangwa kwa kufuata center number, hiyo huondoa ambiguities zinazoweza kutokea ikiwemo shule kuwa na majina yanayofanana nk. Ukianza kulaumu bila kujua sababu unaweza kuonekana mjinga[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichokuwepo awali sicho kilicho sasa. Pia usipende kudandia usivyojua.

Utakuja kudandia waume za dada zako.
 
Asante! Tutajaribu!
Ndiyo inawezekana Mkuu!

Mimi ninaye ninamjua Mwalimu wa Shule alisoma Shule niliyosoma mimi akapata Zero baadae Karejea Mtihani baada ya mwaka Mmoja tu akapata III kaingia Advance na Sasahivi Ana Bachelor ya Education anasomesha somo la Biology Sekondari moja hapa nchini.

Kuna mmoja Yeye Hii wiki iliyopita Kadefend PhD yake ya Psychology wakati Alikula Zero FIV akarejea Mtihani akatoboa na Kuingia Advance, then Kasoma Bachelor of Arts with Education Kasomesha English & History, Then Kagonga Master, sasahivi Kamaliza Kudefend Research Yake PhD.

Kwahiyo usishangae kuona Maprofessa hawa tunaowashuhudia TZ wamepitia mengi.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Wasomi hawakosolewi huko kwenu. Na huo utamaduni wa kushindwa kukosoa utakuja kuinamishwa kwneye ofisi za watu kwa kupigia goti usomi wao.

Kinyesi cha kitimoto.

Wasomi ni watu gani hadi wasikosolewe?
Nilikuwa nakuelimisha, pia najua ngumbalu silaha yenu ni matusi tu, huna hoja endelea na mitusi yako hainipunguzii kitu. Nasisitiza nenda shule!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hii ni intelligence ya kurithi naona majina ya kagemulo,karugwa,kibani,atu nk yamejaa top tenView attachment 1004986View attachment 1004987
tapatalk_1548356476061.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom