Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Mara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamii

Kwako mitale na midimu

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, INAONEKANA UNA CHUKI NA WASABATO, ANGALIA MATOKEO YAO HAPA CHINI ALAFU UJE TENA

1. GOODWILL SS, DIV. 1= 2, DIV 2= 10, DIV 3=21, DIV 4=3, DIV 0=0, KIMKOA YA 9/45, KITAIFA 82/1371.
2. Tanzania Adventist, DIV 1=4, DIV 2=29, DIV 3=36, DIV 4=14, DIV 0=2, KIMKOA YA 25/173, KITAIFA 363/3488
3. MARIADO, DIV 1=5, DIV 2= 13, DIV 3=20, DIV 4=28, DIV 0=0. KIMKOA 34/173, KITAIFA 495/3488
4. THE VOICE, DIV 1=6, DIV 2=14, DIV 3=17, DIV 4=10, DIV O=0, KIMKOA 20/173, KITAIFA 332/3488
5. KITUNGWA, DIV 1= 16, DIV 2= 69, DIV 3=23, DIV 4=2, DIV 0=0, KIMKOA 25/173, KITAIFA 363/3488
6. GOD'S BRIDGE, DIV 1= 22, DIV 2=69, DIV 3=28, DIV 4=6, DIV 0=0, KIMKOA 8/173, KITAIFA 184/3488
7.GEITA ADVENTIST, DIV 1=53, DIV 2=39, DIV 3=4, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 2/95, KITAIFA 58/3488
8. NYABIHORE, DIV 1=10, DIV 2=33, DOV 3=35, DIV 4=7, DIV 0=0, KIMKOA 5/57, KITAIFA 263/3488
9. NYANSINCHA, DIV 1=3, DIV 2=15, DIV 3=20, DIV 4=20, DIV 0=0, KIMKOA 12/157, KITAIFA 463/3488
10. MBEYA ADVENTIST, DIV 1=11, DIV 2=34, DIV 3=18, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 9/174, KITAIFA 185/3488
11. IRINGA ADVENTIST, DIV 1=2, DIV 2=12, DIV 3=12, DIV 4=1, DIV 0=0, KIMKOA 6/32, KITAIFA 65/1371
12. BWASI, DIV 1=2, DIV 2= 10, DIV 3=20, DIV 4=4, DIV 0=0. KIMKOA 5/36, KITAIFA 93/1371
13 IKIZU, DIV 1=16, DIV 2=47, DIV 3=35, DIV 4=21, DIV 0=0. KIMKOA 6/157, KITAIFA 82/3488
14. SUJI DIV 1=5, DIV 2=33, DIV 3=3, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 21/270, KITAIFA 147/3488
15. CHOME, DIV 1=0, DIV 2=6, DIV 3=25, DIV 4=40, DIV 0=0, KIMKOA 78/270, KITAIFA 771/3488
16. PARANE, DIV 1=1, DIV 2=19, DIV 3= 30, DIV 4=21, DIV 0=0. KIMKOA 56/270, KITAIFA 510/3488
17. HERITAGE DIV 1=51, DIV 2=8, DIV 3= 1, DIV 4=0, DIV 0=0. KIMKOA 5/115, KITAIFA 17/3488.

KWA UJUMLA SHULE ZOTE ZA KISABATO ZIMETOA DIVISION ZERO 2 TUU NCHI NZIMA.
 
Hahaaah ndiyo mkuu but tukiwaambia ukweli wanapanick..wenyewe huko shule kazi ni kupandikiza chuki tu

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, INAONEKANA UNA CHUKI NA WASABATO, ANGALIA MATOKEO YAO HAPA CHINI ALAFU UJE TENA

1. GOODWILL SS, DIV. 1= 2, DIV 2= 10, DIV 3=21, DIV 4=3, DIV 0=0, KIMKOA YA 9/45, KITAIFA 82/1371.
2. Tanzania Adventist, DIV 1=4, DIV 2=29, DIV 3=36, DIV 4=14, DIV 0=2, KIMKOA YA 25/173, KITAIFA 363/3488
3. MARIADO, DIV 1=5, DIV 2= 13, DIV 3=20, DIV 4=28, DIV 0=0. KIMKOA 34/173, KITAIFA 495/3488
4. THE VOICE, DIV 1=6, DIV 2=14, DIV 3=17, DIV 4=10, DIV O=0, KIMKOA 20/173, KITAIFA 332/3488
5. KITUNGWA, DIV 1= 16, DIV 2= 69, DIV 3=23, DIV 4=2, DIV 0=0, KIMKOA 25/173, KITAIFA 363/3488
6. GOD'S BRIDGE, DIV 1= 22, DIV 2=69, DIV 3=28, DIV 4=6, DIV 0=0, KIMKOA 8/173, KITAIFA 184/3488
7.GEITA ADVENTIST, DIV 1=53, DIV 2=39, DIV 3=4, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 2/95, KITAIFA 58/3488
8. NYABIHORE, DIV 1=10, DIV 2=33, DOV 3=35, DIV 4=7, DIV 0=0, KIMKOA 5/57, KITAIFA 263/3488
9. NYANSINCHA, DIV 1=3, DIV 2=15, DIV 3=20, DIV 4=20, DIV 0=0, KIMKOA 12/157, KITAIFA 463/3488
10. MBEYA ADVENTIST, DIV 1=11, DIV 2=34, DIV 3=18, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 9/174, KITAIFA 185/3488
11. IRINGA ADVENTIST, DIV 1=2, DIV 2=12, DIV 3=12, DIV 4=1, DIV 0=0, KIMKOA 6/32, KITAIFA 65/1371
12. BWASI, DIV 1=2, DIV 2= 10, DIV 3=20, DIV 4=4, DIV 0=0. KIMKOA 5/36, KITAIFA 93/1371
13 IKIZU, DIV 1=16, DIV 2=47, DIV 3=35, DIV 4=21, DIV 0=0. KIMKOA 6/157, KITAIFA 82/3488
14. SUJI DIV 1=5, DIV 2=33, DIV 3=3, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 21/270, KITAIFA 147/3488
15. CHOME, DIV 1=0, DIV 2=6, DIV 3=25, DIV 4=40, DIV 0=0, KIMKOA 78/270, KITAIFA 771/3488
16. PARANE, DIV 1=1, DIV 2=19, DIV 3= 30, DIV 4=21, DIV 0=0, KIMKOA 56/270, KITAIFA 510/3488
17. HERITAGE DIV 1=51, DIV 2=8, DIV 3= 1, DIV 4=0, DIV 0=0. KIMKOA 5/115, KITAIFA 17/3488.

UJE TENA NA MAPOVU YAKO DHIDI YA WASABATO.
 
Ukiona msabato anapata zero hata kama anasoma shule ya kata achilia shule ya kisabato jua ni msabato fake.
Misingi ya elimu ya msabato inamuandaa kuwa na elimu Itakayomfikisha Mbinguni na Kupasua elimu hizi za dunia zisizohitaji msuli mkubwa.

Kasome Kitabu cha kisabato kinaitwa '' Education ''. Sasa kama msabato au shule ya kisabato ikishindwa kutembea kwenye misingi iliyowekwa lazima ifeli tu.

HUYO ANAYEPONDA SHULE ZA WASABATO HATA HAJUI MATOKEO YA SHULE ZA WASABATO, ASINGEANDIKA UPUPU WAKE HUO, NIMEMUWEKEA MATOKEO HAYO HAPO

1. GOODWILL SS, DIV. 1= 2, DIV 2= 10, DIV 3=21, DIV 4=3, DIV 0=0, KIMKOA YA 9/45, KITAIFA 82/1371.
2. Tanzania Adventist, DIV 1=4, DIV 2=29, DIV 3=36, DIV 4=14, DIV 0=2, KIMKOA YA 25/173, KITAIFA 363/3488
3. MARIADO, DIV 1=5, DIV 2= 13, DIV 3=20, DIV 4=28, DIV 0=0. KIMKOA 34/173, KITAIFA 495/3488
4. THE VOICE, DIV 1=6, DIV 2=14, DIV 3=17, DIV 4=10, DIV O=0, KIMKOA 20/173, KITAIFA 332/3488
5. KITUNGWA, DIV 1= 16, DIV 2= 69, DIV 3=23, DIV 4=2, DIV 0=0, KIMKOA 25/173, KITAIFA 363/3488
6. GOD'S BRIDGE, DIV 1= 22, DIV 2=69, DIV 3=28, DIV 4=6, DIV 0=0, KIMKOA 8/173, KITAIFA 184/3488
7.GEITA ADVENTIST, DIV 1=53, DIV 2=39, DIV 3=4, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 2/95, KITAIFA 58/3488
8. NYABIHORE, DIV 1=10, DIV 2=33, DOV 3=35, DIV 4=7, DIV 0=0, KIMKOA 5/57, KITAIFA 263/3488
9. NYANSINCHA, DIV 1=3, DIV 2=15, DIV 3=20, DIV 4=20, DIV 0=0, KIMKOA 12/157, KITAIFA 463/3488
10. MBEYA ADVENTIST, DIV 1=11, DIV 2=34, DIV 3=18, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 9/174, KITAIFA 185/3488
11. IRINGA ADVENTIST, DIV 1=2, DIV 2=12, DIV 3=12, DIV 4=1, DIV 0=0, KIMKOA 6/32, KITAIFA 65/1371
12. BWASI, DIV 1=2, DIV 2= 10, DIV 3=20, DIV 4=4, DIV 0=0. KIMKOA 5/36, KITAIFA 93/1371
13 IKIZU, DIV 1=16, DIV 2=47, DIV 3=35, DIV 4=21, DIV 0=0. KIMKOA 6/157, KITAIFA 82/3488
14. SUJI DIV 1=5, DIV 2=33, DIV 3=3, DIV 4=0, DIV 0=0, KIMKOA 21/270, KITAIFA 147/3488
15. CHOME, DIV 1=0, DIV 2=6, DIV 3=25, DIV 4=40, DIV 0=0, KIMKOA 78/270, KITAIFA 771/3488
16. PARANE, DIV 1=1, DIV 2=19, DIV 3= 30, DIV 4=21, DIV 0=0, KIMKOA 56/270, KITAIFA 510/3488
17. HERITAGE DIV 1=51, DIV 2=8, DIV 3= 1, DIV 4=0, DIV 0=0. KIMKOA 5/115, KITAIFA 17/3488.
 
Naomba msaada kuelewa hii.

Ni namna ipi inatumika kutafuta point na division kwa haya matokeo? Kuna wanafunzi wamescore div IV lakini anacredit (C) tatu, wengine wana "C" mbili ila ana IV ya 27. Au namna yakuhesabu imebadilika?
[emoji116][emoji116]
20190125_113632.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alama zina point kama ifuatavyo Mkuu;-
A=1
B=2
C=3
D=4
F=5.

Mfano huyo wa kwanza ktk matokeo uliyozungushia hapo juu ana "D" nne, "C" mbili na "F" moja hivyo division yake inapatikana kama ifuatavyo:-

D= point 4
D= point 4
D= point 4
D= point 4
C= point 3
C= point 3
F= point 5
Jumla point 27 (IV ya 27)

Au unaweza pata division yake kwa kuzidisha idadi ya alama na point yake.

D4 = 4x4=16
C2 = 2x3=6
F1 = 1x5=5
Jumla = 27 ambayo ni division IV ya 27.

Hitimisho: Utaratibu haujabadilika Mkuu.

Naomba msaada kuelewa hii.

Ni namna ipi inatumika kutafuta point na division kwa haya matokeo? Kuna wanafunzi wamescore div IV lakini anacredit (C) tatu, wengine wana "C" mbili ila ana IV ya 27. Au namna yakuhesabu imebadilika?
[emoji116][emoji116]View attachment 1004216

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha elimu yetu kila mwaka inavurugwa na hii mijizi ya CCM isiyokuwa na khaya. Shule za kata ni makaburi ya kuzikia elimu yetu. Mungu anawaona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wajuzi jamani naomba mniangalizia shule ya Ilala Islamic Seminary namba yao ya kituo ni S 2401
 
Namba ya kituo naona kama ni tofauti ila shule ni kama hii
IMG_20190125_142440.jpeg
 
Hiki ndicho kipindi ambacho hata Ukijikwaa unaambiwa lione haliko makini ndio maana limefeli, hata Chakula unakula kwa Masimango sana. Jamani tujaribu kubadilika kufeli Shule sio kufeli Maisha, Watoto wetu wana Vipaji vingi vya kuwaendeleza ebu tujaribu kuwaendeleza/kuwafikisha katika Ndoto zao wanazopenda ipo siku watafanikiwa.
 
Back
Top Bottom