Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Kilaza wa hapo ndio ana Div 1 .15 yeye ndio wa mwisho , katika mashindano hata wakishindanishwa wakali lazima kilaza atakuwepo!! Kilaza = Wa Mwisho.
Mkuu King Kong unakosea unaposema Kilaza = wa mwisho. Ukilaza maana yake ni uwezo mdogo wa mtu kufanya jambo. Neno hilo halina maana ya moja kwa moja na uwezo academically.
 
Ivi jamani ni shule gani ambayo ada yao haizidi milioni moja na laki tano ni bording nina kijana wangu yupo form two
 
Mkuu King Kong unakosea unaposema Kilaza = wa mwisho. Ukilaza maana yake ni uwezo mdogo wa mtu kufanya jambo. Neno hilo halina maana ya moja kwa moja na uwezo academically.
Mkuu inabidi ukubali tu,kwa hapo huyo aliyepata 1. 15 ni kilaza!!
 
Ivi izi shule za international huwa zinafanya mitihani gani maana kwenye matokeo ya necta hazipo kwa mfano Feza internatinal achana na feza boys na feza girls pia shule kama isamilo international ambayo ipo mwanza

Sent using i Phone x
 
Hiki ndicho kipindi ambacho hata Ukijikwaa unaambiwa lione haliko makini ndio maana limefeli, hata Chakula unakula kwa Masimango sana. Jamani tujaribu kubadilika kufeli Shule sio kufeli Maisha, Watoto wetu wana Vipaji vingi vya kuwaendeleza ebu tujaribu kuwaendeleza/kuwafikisha katika Ndoto zao wanazopenda ipo siku watafanikiwa.
Turuu
 
Back
Top Bottom