Matokeo ya kidato cha nne ni uozo mtupu

Matokeo ya kidato cha nne ni uozo mtupu

WISE 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
634
Reaction score
460
Tutakua busy kujadili ugaidi, ila matokeo ya kidato cha nne ni uozo mtupu. People are too clever, hapa wanaua ndege wawili kwa jiwe moja. Matokeo yametolewa kwa mfumo wa GPA ambazo watahiniwa / wahitimu wenyewe hawawezi kuzichanganua ili kujua GPA husika inamaanisha nini, na wameenda mbali zaidi kwa kutoa GPA zisizofanana hata kidogo na zile za vyuo ili hata kaka zao, dada zao au wazazi wa hao wahitimu wasiweze kuzichanganua.

Walisema madaraja yatakua hivi...

0.0-0.1 Fail
0.2-1.5 Pass
1.6-2.5 Credit
2.6-3.5 Merit
3.6-5 Distinction

Kutokana na zile pass ambazo mtu anakua amepata kwenye somo husika, kwa kufuata mtiririko huu ufuatao;

A>>> 75 - 100
B+>> 60 - 74
B>>> 50- 59
C>>> 40 - 49
D>>> 30 - 39
E>>> 20 - 29
F>>> 0 - 19

Kwa maana hiyo utapata ukipata marks kulingana na grade hizo utakua umeangukia kwenye mojawapo ya alama hizi;

A=5
B+=4
B=3
C=2
D=1
E=0.5
F=0

Lakini tatizo bado lipo, kwa wale wataalamu wa kukokotoa wakijaribu kutumia alama hizo kukokotoa matokeo ya mtu wanakuta alichoandikiwa kama ni Pass au distinction hakifanani na ukokotozi sahihi, kwa mfano;

Mtu aliyepata;

CIVICS - C
HIST - C
GEO - C
KISWA - B
ENGL - B
PHY - B
CHEM - B
BIO - B
MATH - D

Ukikokotoa kulingana na mfumo wao na grade zao zilivyopangwa unapata 2.44 ambayo ni credit, ila wao wanamuandikia 2.7 ambayo ni Merit. Kuna tatizo hapa.

Nadhani waTz tumekua wajinga sana, hauwezi kumpa mtu matokea ambayo hata yeye hayaelewi.

ELIMU NI BURE������
 
Mkuu mfano wako ni kama vyuoni wanavyofanya. Mwenyewe nna mashala na huo mfumo wao wa GPA.

Ivi ni kweli hawajatoa ufafanuzi wa hizo gpa zao?
 
Ukichunguza kwa makini unagundua kuwa walichokifanya ni kuchukua masomo 7 tu ambayo mwanafunzi amefaulu vizuri na kutafuta GPA yake.
 
Watu wanapenda kufoji klia kitu. Wanajaribu mifano iliyokwishafeli kwingine wanaleta hapa. Hujui hata wanachokitafuta ni nini? Sera mpya ya elimu haijulikanni inamnufaisha nani. Labdda kwa kuwa Mwanaisha alifeli ndio maana wanamalizia hasira hapa. Wasomi wote wazuri ni wale wa 80s na 90s wakati sera zikiwa nzuri.
 
Usisahau kwa muda mrefu sasa, matokeo ya form 2 na 4, tumekuwa tukiwapa watoto marks kutoka hewani ili waonekane wamefaulu kwa sababu ya kuficha aibu ya serikali. Hii ya kumpa mtoto 2.7, badala ya 2.4 ni katika mchakato huo huo wa kuendelea kuficha aibu ya serikali.

Hili suala ni nyeti na lilitakiwa kuwa siri lakini sasa liko public. Tuanficha aibu ya serikali.

KAWAMBWA KIKWETE OYEEEEEEEEEEEEE!

Back
Top Bottom