Matokeo ya Kidato cha nne shule anayoongoza Lowasa yanatisha

Matokeo ya Kidato cha nne shule anayoongoza Lowasa yanatisha

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Matokeo ya Kidato cha nne shule ya sekondari Irkisongo mwaka huu yanatisha kama yalivyo kwa shule nyingi za kata aka St. Kayumba. Mh. EL ni mwenyekiti wa bodi wa shule hiyo. Mara kwa mara vyombo vya habari vimekuwa vikimnukuu mh. EL akiitaka serikali iunde tume ya kuchunguza mfumo mzima wa elimu. Sasa kwa nini asianze na shule ambayo yeye ni mwenyekiti wa bodi? na mkuu wake wa shule anayejulikana kama iron lady anamsaidiaje mheshimiwa?

Matokeo yenyewe haya hapa

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA


CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS


S0949 IRKISONGO SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 21 FLD = 95



[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 100%"]EXAMINATION CENTRE RANKING[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 50%"]EXAMINATION CENTRE REGION[/TD]
[TD="width: 50%"]ARUSHA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]TOTAL PASSED CANDIDATES[/TD]
[TD="width: 50%"]21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]EXAMINATION CENTRE GPA[/TD]
[TD="width: 50%"]4.8539
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE CATEGORY[/TD]
[TD="width: 50%"]CENTRE WITH 40 CANDIDATES OR MORE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)[/TD]
[TD="width: 50%"]115/156[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)[/TD]
[TD="width: 50%"]2698/3392[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]

[/TR]
[/TABLE]
Source ya matokeo NECTA
 
huyu mnafiki. hebu yeye mwenyewe abandike matokeo yake yote toka secondary hadi vasty, tuone kama anastahili hata kuwa mwenyekiti wa bodi
 
Back
Top Bottom