Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
Hiyo ya shehe kumfanyia interview mwalimu wa physics nimecheka sana.
mkuu sio usanii wala porojo, hiyo ni fact. kipindi cha ukoloni muislam kupata nafasi ya kusoma ilikuwa ni ishu. na lengo lilikuwa kuhakikisha waislam wote wanaritadi. ndo maana serikali ikawa inakusanya kodi kutoka kwa wananchi wote lakini suala la elimu likapewa kanisa, ambapo kiuhalisia unaweza kuona kwa uwazi kabisa lengo lililokusudiwa.
hili la mashehe kuwafanyia interview walimu siwezi kuliongele kwa sababu sina ushahidi. ila hata wewe umeongea maneno matupu. ungeniwekea ushahidi kidogo.
usisahau kuwa bakwata ni tawi la ccm, na wengi hatujui nini makusudio yake. naamini hata wewe hujui ni nini kilichopo nyuma ya hii inayoitwa bakwata.
 
kuwa na wakristo wengi katika elimu n.k ni mfumo tangu kipindi cha ukoloni. watu wa dini zingine na hasa waislam ilikuwa shida kupata elimu. na hata hao waliopata ilikuwa ni kwa mizengwe, mfano mzuri tu ni Rais Kikwete ambaye yupo madarakani sasa hivi. ilibidi abadilishe jina na kuitwa SAMWEL LUHANGA ili shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote ziweze kumkubali. wapo wengi, hata Marehemu Prof. Kighoma Malima alipitia huko.
wakati akijiunga na chuo alikuwa anajulikana kama Kighoma Malima lakini alipoambiwa aandike majina 3 akaandika Ali mwaka huo alinyimwa nafasi. akaendelea kupambana mwaka uliofuata ndo wakamchuka tena kwa mbinde.

kwa kifupi ninachotaka kukuambia tu ni kuwa huu sio muda wakujisifu kwa garama za wengine, bali ni muda muafaka kwa waTanzania kuungana na kutokomeza moja ya matatizo 3 makuu kama yalivyoainishwa na mmoja wa waasisi wa Taifa hili Hayati Mwl. Nyerere.
TANZANIA NIYETU SOTE, TUUNGANE TUTOKOMEZE UJINGA KWA MAENDELEO YETU.

Kama nitanunua kesi......

Complains zisizo na facts zisiendekezwe watu wajikite katika kujua kwanini hao wanafanikiwa na ku correct their mistakes badala ya ku complain tu kwakutumia hisia na nadharia
 
Nimependa jinsi ulivyohitimisha hoja yako lakini bado nina neno.
Hao wote waliohangaika kubadilisha majina ili wasome ni mfano dhahiri kuwa huko kwenye asili ya majina yao hawakuona haja ya kuwekeza kwenye elimu(ya dunia) ndio maana wanaifuata inakopatikana.
Wangewekeza yasingetokea haya ya kulalamika na kuonewa kila leo

mkuu Kikwete ametoka kwenye familia ya kichifu, kwa hiyo unaweza kuona utofauti wa uelewa. hata nyerere alitoka kwenye familia ya kichifu. sasa chukulia mtu wa huku kwetu kijijini ambaye hajui hata nini kinaendelea duniani unatarajia nini? ndo maana hata leo serikali imewapa kipau mbele jamii za kimasai, wasandawe na wahadzabe, sababu kubwa ni kuwa hawaelewi kinachoendelea, kwa hiyo inahitajika nguvu kutoka nje kwenda kuwaelemisha. ndo maana kuna shule nyingi tu zimejnengwa huko umasaini kwa ajili ya kuwaelimisha.
so lililotokea kwa jamii za kiislam ni kuwa hao ambao ndo walitakiwa wachukue initiative kuhakikisha wanapata elimu ndo walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha hawapati kitu, lakini bila kusahau kuwa walikuwa wakwanza kwenda kukusanya kodi.
it is history but tells a lot.
kitu kingine ulichosahau ni kuwa elimu-formal imekuja na wazungu, sidhani kama majina yana nafasi hapa. lakini pia hata hao wenye original ya hayo majina kwa maana ya waarabu hawajawahi kuwa watawala hapa kwetu kwani walikuwa wafanya biashara tu. kwa hiyo wasingewekeza kwenye elimu au popote wakati ni wapita njia tu na recent history inatuonesha kuwa modern education imeibukia ulaya. wazungu waliwekeza hapa kwa sababu walikuwa wakoloni. mjerumani alijenga na reli kabisa, hata hivyo baada ya muingereza kuja hakufanya chochote cha maana kwani alikuwa anajua hapa yupo kwa muda tu baada ya kukabidhiwa nchi na UN after world war II. na kenya alifanya mengi tu ya maana kwani alijua pale atakuwepo milele.
hata hao wakristo wa tanzania pamoja na majina kufanana na wazungu, ukiwaondoa wazungu hawanatofauti hata kidogo na hao wenye majina ya kiarabu.
si ndo haohao wanaopiga watu kile mbeya kisa wanaupara ili wapate utajiri, ndo hao wanaoua kule shinyanga kisa tu mtu anamacho mekundu? si ni majina hayo hayo? kule sumbawanga kwenye majina mengi ya kizungu kuna tofauti gani na kule tanga kwenye majina mengi ya kiarabu kuhusu uchawi?
ukiwa mtaani kuna wakristo wengi tu wamepigika kama walivyo waislam. au wewe huko kwenu ni waislam tu ndo wamepigika? tuungane tuitokomeze ccm kwa ajili ya ustawi wa nchi yetu. samahani hata kama unamaslahi ccm lakini huo ndo ukweli.
think wide mkuu, hii ya kuangaliana majina haitusidii..
 
mkuu nianze ni hicho ulichomalizia, no.4. hatuhitaji kubaguana popote pale katika nyanja zozote zile na sio kwenye elimu tu kama ulivyosema. mfarakano popote pale haujawahi kujenga. ndo maana hata uchaguzi wa 2010 nilifadhaika sana pale nilipomsikia mchungaji Christopher mtikila akisema kuwa pale ikulu hapastahiki muislam wakati akihutubia jukwaa la wakristo may 26 2010. nikajiuliza maswali mengi sana.nikiangalia ratio ya waislam kwa wakristo hapa Tz.
back to topic, wachaga ni miongoni mwa jamii zilizofaidika sana na elimu ya mkoloni. zipo sababu nyingi lakini moja wapo ni pamoja na hali ya hewa ya kilimanjaro ambayo ilishabihiana na kule walikotoka wakoloni, ikiwa ni pamoja na kilimo kama kahawa n.k. ndo maana hata leo hii kilimanjaro na udogo wake ndo mkoa unaoongoza kwa shule Tanzania ikiwa na zaidi ya shule 280 za sekondary-0 level. hata vyuo ni vingi sana huko kama ushirika, kcmc, mwenge, masoka, mweka, ccp nk kwa hiyo hela nyingi kutoka hazina inaenda kuishia huko na kuneemesha watu wa huko kuanzia mama ntilie and so on.... huwezi amini kuwa garama za nyumba moshi ni sawa na dar, na kupata kiwanja cha kujenga huko ni kama msamiati. yote haya ni kwa sababu ya backgroud ya huko.

ni hitimishe kwa hili;
mkuu Kikwete ametoka kwenye familia ya kichifu, kwa hiyo unaweza kuona utofauti wa uelewa. hata nyerere alitoka kwenye familia ya kichifu. sasa chukulia mtu wa huku kwetu kijijini ambaye hajui hata nini kinaendelea duniani unatarajia nini? ndo maana hata leo serikali imewapa kipau mbele jamii za kimasai, wasandawe na wahadzabe, sababu kubwa ni kuwa hawaelewi kinachoendelea, kwa hiyo inahitajika nguvu kutoka nje kwenda kuwaelemisha. ndo maana kuna shule nyingi tu zimejnengwa huko umasaini kwa ajili ya kuwaelimisha.
so lililotokea kwa jamii za kiislam ni kuwa hao ambao ndo walitakiwa wachukue initiative kuhakikisha wanapata elimu ndo walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha hawapati kitu, lakini bila kusahau kuwa walikuwa wakwanza kwenda kukusanya kodi.
it is history but tells a lot.

2
Nadhani wale walioondoa iman kuwa tabaka fulani linaonewa wamepigahatua kwa kujifunza kwa wao lakin ukiamin unaonewa huwez fanya lolote. Mfano tu angalia zamani watu wa miko mingine walikuwa na iman kuwa wachaga wanapendelewa kwenye ajira na mambo kadhaa lakin wanalalamika halafu hawanaqualifications zinazowasoport kukalia vitengo, hilo lilinipa hasira ya kusoma na kujiweka fit kwenye kada yangu halaf nione kama kweli, kiukweli nimefanikiwa kufuta iman ya kipuuzi kama ile ya mwanzo.Ushauri tu kwa waislam:
1.Someni mpatapofursa
2. Mambo ya dini yapewe muda, na mambo ya elim dunia yapewe muda wa kutosha pia
3.Ondoa iman kuwa unaonewa au kunawatu wanapendelewa kwan sidhan km unawezajaza jibu sahih ukakoseshwa au mwingine akaweka uwongo akapatishwa kisa ni mkristo
4.Acha ubaguzi wa kiimani hasa kwa mambo yanayohusu maendeleo ya kielim,usiogope kujifunza mbinu kutoka kwa wengine.
 
Nimependa jinsi ulivyohitimisha hoja yako lakini bado nina neno.
Hao wote waliohangaika kubadilisha majina ili wasome ni mfano dhahiri kuwa huko kwenye asili ya majina yao hawakuona haja ya kuwekeza kwenye elimu(ya dunia) ndio maana wanaifuata inakopatikana.
Wangewekeza yasingetokea haya ya kulalamika na kuonewa kila leo

Hiyo haiwahusu hata kidogo.
Wanasema kitabu chao kina elimu yote,
Yaani kwenye uzi kama huu kina FaizaFoxy na Ritz wanaingia kama Guests.
 
Last edited by a moderator:
mkuu sio usanii wala porojo, hiyo ni fact. kipindi cha ukoloni muislam kupata nafasi ya kusoma ilikuwa ni ishu. na lengo lilikuwa kuhakikisha waislam wote wanaritadi. ndo maana serikali ikawa inakusanya kodi kutoka kwa wananchi wote lakini suala la elimu likapewa kanisa, ambapo kiuhalisia unaweza kuona kwa uwazi kabisa lengo lililokusudiwa.
hili la mashehe kuwafanyia interview walimu siwezi kuliongele kwa sababu sina ushahidi. ila hata wewe umeongea maneno matupu. ungeniwekea ushahidi kidogo.
usisahau kuwa bakwata ni tawi la ccm, na wengi hatujui nini makusudio yake. naamini hata wewe hujui ni nini kilichopo nyuma ya hii inayoitwa bakwata.

Mpaka lini mtaacha kujidanganya??
Mbaya zaidi mnawadanganya hivyo watoto wenu mnaishia kulalamika na hatimaye mtabaki huko huko.Acha uongo, acha kudanganya wasiosoma wenzio wekezeni kweneye Elimu....
 
Labda mpaka tukibadilisha mfumo mzima wa elimu kwa maana kwamba ije auina nyingine ya herufi (letters) badala ya a, b,c, c,d... na namba pia badala ya hizi 1, 2, 3 nk ndipo hizi shule zitaanza kuachwa nyuma.
Hii ni kwa sababu hii ndiyo misingi ya elimu ya dunia iliyopelekea watu kwenda mwezini, kuvumbua mashine, kuvumbua madawa na matibabu, kuvumbua hizi keyboards tulizokalia sasa nk. Na chanzo cha hii elimu yote hasa ya kisasa ni Ugiriki na Roma (Mediterranean) ambako ndiko misingi ya Ukatoliki.
Tegemea chochote lakini hakitakuwa mbali na hapo!
 
wewe mkirua umeelewa mada inakuelekea? tunaongelea tatizo la kihistoria. sio kweli shule kama minaki, pugu, old moshi na zingine nyingi zilikuwa shule za kanisa kipindi cha ukoloni? je jukumu la kutoa huduma lilikuwa la makanisa au serikali ya kikoloni iliyokuwa ikikusanya kodi kutoka kwa wananchi wote? punguza hasira/chuki nisome taratibu utanielewa ninachokueleza.

Mpaka lini mtaacha kujidanganya??
Mbaya zaidi mnawadanganya hivyo watoto wenu mnaishia kulalamika na hatimaye mtabaki huko huko.Acha uongo, acha kudanganya wasiosoma wenzio wekezeni kweneye Elimu....
 
wewe mkirua umeelewa mada inakuelekea? tunaongelea tatizo la kihistoria. sio kweli shule kama minaki, pugu, old moshi na zingine nyingi zilikuwa shule za kanisa kipindi cha ukoloni? je jukumu la kutoa huduma ya elimu lilikuwa la makanisa au serikali ya kikoloni iliyokuwa ikikusanya kodi kutoka kwa wananchi wote? punguza hasira/chuki nisome taratibu utanielewa ninachokueleza.

Mpaka lini mtaacha kujidanganya??
Mbaya zaidi mnawadanganya hivyo watoto wenu mnaishia kulalamika na hatimaye mtabaki huko huko.Acha uongo, acha kudanganya wasiosoma wenzio wekezeni kweneye Elimu....
 
Labda mpaka tukibadilisha mfumo mzima wa elimu kwa maana kwamba ije auina nyingine ya herufi (letters) badala ya a, b,c, c,d... na namba pia badala ya hizi 1, 2, 3 nk ndipo hizi shule zitaanza kuachwa nyuma.
Hii ni kwa sababu hii ndiyo misingi ya elimu ya dunia iliyopelekea watu kwenda mwezini, kuvumbua mashine, kuvumbua madawa na matibabu, kuvumbua hizi keyboards tulizokalia sasa nk. Na chanzo cha hii elimu yote hasa ya kisasa ni Ugiriki na Roma (Mediterranean) ambako ndiko misingi ya Ukatoliki.
Tegemea chochote lakini hakitakuwa mbali na hapo!

Usijaribu kupotosha kwa kutumia mwanzo/ chanzo cha elimu imetoka wapi. Hoja iliyoko hapa ni kwanini christian schools zinafanya vizuri kuliko other institute schools ikiwemo government yenyewe. Kwa kuzingatia people,equipment & facilities among those institutions.
We debating facts.!!!
 
Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!

Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!

Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!

Si kukurupuka tu na kuongeza points!

Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!

Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!

kahtaan njoo huku kuna mtu kaiba password yako!!!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo haiwahusu hata kidogo.
Wanasema kitabu chao kina elimu yote,
Yaani kwenye uzi kama huu kina FaizaFoxy na Ritz wanaingia kama Guests.

kahtaan njoo huku kuna mtu kaiba password yako!!!

We mwenye elimu ya kata lzm ushangae!
Watu kama nyie kwa sisi madaktari tunawaita mna maradhi ya "Selective understanding"
Mkiambiwa ukweli unaowahusu nyie HAMUUONI!
Lkn tukisema yanayo wahusu wengine mnakuwa wa kwanza Kushabikia na kutoa pongezi!

Siku mwenye elimu ya kata akaweza.kuukubali ukweli basi ndio siku yesu atakaporudi!
 
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki.

Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora.

1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera), 9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani) na 10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya). Wanafunzi wengi ni wakristo. Hapa naona naona wakristo wakiendelea kutawala kielimu.

division one ya kikatoliki ni janga la taifa!

Hawa wakizidi nchini sasa hivi nchi yetu itaanza ile michezo ya vatican!

Mungu inusuru nchi yangu na balaa hii
 
wewe mkirua umeelewa mada inakuelekea? tunaongelea tatizo la kihistoria. sio kweli shule kama minaki, pugu, old moshi na zingine nyingi zilikuwa shule za kanisa kipindi cha ukoloni? je jukumu la kutoa huduma ya elimu lilikuwa la makanisa au serikali ya kikoloni iliyokuwa ikikusanya kodi kutoka kwa wananchi wote? punguza hasira/chuki nisome taratibu utanielewa ninachokueleza.

Ivi kumbe wakoloni walikuja kutupa elimu enheee.....Tuna safari ndefu sana....
Unapaswa kukwashukuru ambao sadaka zao na kujitoa kwao kulitupatia hizo Pugu, Umbwe na Old Moshi sio kuja na upotoshaji wa historia hapa.

We mwenye elimu ya kata lzm ushangae!
Watu kama nyie kwa sisi madaktari tunawaita mna maradhi ya "Selective understanding"
Mkiambiwa ukweli unaowahusu nyie HAMUUONI!
Lkn tukisema yanayo wahusu wengine mnakuwa wa kwanza Kushabikia na kutoa pongezi!

Siku mwenye elimu ya kata akaweza.kuukubali ukweli basi ndio siku yesu atakaporudi!

Pole sana kwa kujidanganya kwa kuangalia avatar....Nyuma ya avatar kuna mtu sasa kwakuwa humfahamu vizuri na hana haja ya kujitambulisha kwako utaendelea kuonekana pungwani kwa kudhani hata CV yake unaifahamu vizuri na ndio maana kwenye huo mtego sio rahisi kunipata. Umekuwa mstari wa mbele kusifu kila kikwete anachofanya na serikali yake sasa nikusaidie japo kidogo na huo udaktari wako feki unaokufanya ushindwe hata kuuona japo ukweli dhahiri....

Excel alikutega kwa kukuuliza swali dogo jepesi lakini lenye falsafa ndani yake kwenye Post #114

haya mkuu.. lakini unayaonaje haya matokeo kiujumla?

unadhani kuongezwa points mpaka 49 ni suluhisho la kuongeza performance kwa wanafunzi kiujumla?

Wewe ukaamua kujivua blanketi la udini na kutiririka hivi:

Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!

Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!

Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!

Si kukurupuka tu na kuongeza points!

Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!

Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!

Sasa swali linakuja hivii....Ni lini umebaini kuwa "Ni kawaida Kwa Serikali yetu kutoa maamuzi kama haya?"
Na tena ni lini umebaini kuwa "Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!"

Ni hayo tu daktari wangu maana madaktari mpo wengi kuanzia Remmy hata Pimbi naye ni daktari.
 
Last edited by a moderator:
division one ya kikatoliki ni janga la taifa!

Hawa wakizidi nchini sasa hivi nchi yetu itaanza ile michezo ya vatican!

Mungu inusuru nchi yangu na balaa hii

Utuepushe na ubakiji unaendelea hasa kule Zanzibar na kwingineko duniani ambako tafiti kadhaa zimebaini vitoto vya madrassa vyenye miaka kuanzia minne/mitano vinalawitiwa na kunajisiwa na waalimu wao ambapo huwalainisha sehemu zao za haja kubwa kwa kupakwa mafuta na kukatazwa visiseme ni sehemu ya mafundisho ya dini...Ee Bwana...... wote tuitike Twakuomba Utusikie.....

hivi:

Sasa swali linakuja hivii....Ni lini umebaini kuwa "Ni kawaida Kwa Serikali yetu kutoa maamuzi kama haya?"
Na tena ni lini umebaini kuwa "Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!"

Ni hayo tu daktari wangu maana madaktari mpo wengi kuanzia Remmy hata Pimbi naye ni daktari.

We mtoto, unapojadili na watu kama mimi lzm utambue kuwa linapokuja suala la KUSEMA UKWELI basi mimi sio MNAFIKI KAMA NYIE!

Na hakuna HATTA SIKU MOJA NIKASIFIA TU serikali bila kuonyesha MAPUNGUFU YAKE!

Na kama una ushahidi huo LETA HAPA!

We unadhani hizo elimu zako za kata utaweza.kujadili na watu waliozama ktk bahari ya elmu tofauti tofauti!

We unachokijua ni hapo ulipozaliwa tu! Full stop! Na hao wanaokupa choo utawasifia tu! Wawe wazuri au wabaya!

Serikali yetu INAMAPUNGUFU MENGI MNO! Na hassa kwenye zile wizara zilizokaliwa na wagalatia!

Na hilo lipo TOKA WAKATI WA NYERERE!

Sasa usilete unafiki wako wa kusema mimi always NAISIFU SERIKALI!

Manake kusema hivyo ni kama wale wanawake malaya wasema uongo!

Kwa mtoto wa kiume haifai!

Au sasa hivi na wewe utaanza kuvaa kanga! Na kupaka wanja!

Talk like a man. And stick with the fact!
 
Utuepushe na ubakiji unaendelea hasa kule Zanzibar na kwingineko duniani ambako tafiti kadhaa zimebaini vitoto vya madrassa vyenye miaka kuanzia minne/mitano vinalawitiwa na kunajisiwa na waalimu wao ambapo huwalainisha sehemu zao za haja kubwa kwa kupakwa mafuta na kukatazwa visiseme ni sehemu ya mafundisho ya dini...Ee Bwana...... wote tuitike Twakuomba Utusikie.....

https://www.jamiiforums.com/habari-...ike-akimwombea-nairobi.html?highlight=ubakaji

https://www.jamiiforums.com/habari-...alimwingilia-[photos].html?highlight=kulawiti

https://www.jamiiforums.com/mahusia...ornia-nchini-marekani.html?highlight=kulawiti

hebu wasome kwanza HAO WAGALATIA WENZAKO HALAFU IBORESHE ZAIDI HIO DUA YAKO!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom