Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki.
Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora.
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera), 9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani) na 10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya). Wanafunzi wengi ni wakristo. Hapa naona naona wakristo wakiendelea kutawala kielimu.