Matokeo ya kidato cha nne yafutwa hii ndo bongo bwanaaa...

Matokeo ya kidato cha nne yafutwa hii ndo bongo bwanaaa...

Godlove jaxon

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
49
Reaction score
7
Serikali leo bungeni kupitia tume ya waziri mkuu imefuta matokeo ya kidato cha nne na kusema kuwa mitihani itasahihishwa upya

SWALI LANGU NI:> "*KAMA WATASAHIHISHA MITIHANI HIYO UPYA MATOKEO YATAKUWAJE KWANI WALE WALIOKATA RUFAA NA KUSAHIHISHIWA MBONA MATOKEO YAO HAYAKUBADILIKA, NA KAMA HAYAKUBADILIKA NA WALISAHIHISHA WATAKUWA WANASAHIHISHA NINI TENA AU WALIKUWA WANA MAAMUZI HAYO LAKINI WAKASUBIRI KWANZA WALE PESA ZA WAKATA RUFAA NDIO WATOE MAAMUZI HAYOO*"

Naona kama mizengwe vile jambo moja kurudiwa rudiwa mara kibao

Maoni kwa wizara ya elimu; Kwa wale waliokuwa wamefaulu wangeendelea na masomo kwani muda wao wa masomo unapotea bure alafu ndo wafuatilie kwa wale waliofeli

Nionavyo mimi; WANATOA MAAMUZI HAYO NA KUWAPOTEZEA MUDA WALE WALOFAULU KWA KUWA WAO WALISHASOMA

Asanteni
 
ebwana unategemea nini RAIS FAILURE,MINISTERS FAILURE ALL THE OFFICIALS CORRUPTED.
 
Kweli hii ndo bongo yetu
Serikali leo bungeni kupitia tume ya waziri mkuu imefuta matokeo ya kidato cha nne na kusema kuwa mitihani itasahihishwa upya

SWALI LANGU NI:> "*KAMA WATASAHIHISHA MITIHANI HIYO UPYA MATOKEO YATAKUWAJE KWANI WALE WALIOKATA RUFAA NA KUSAHIHISHIWA MBONA MATOKEO YAO HAYAKUBADILIKA, NA KAMA HAYAKUBADILIKA NA WALISAHIHISHA WATAKUWA WANASAHIHISHA NINI TENA AU WALIKUWA WANA MAAMUZI HAYO LAKINI WAKASUBIRI KWANZA WALE PESA ZA WAKATA RUFAA NDIO WATOE MAAMUZI HAYOO*"

Naona kama mizengwe vile jambo moja kurudiwa rudiwa mara kibao

Maoni kwa wizara ya elimu; Kwa wale waliokuwa wamefaulu wangeendelea na masomo kwani muda wao wa masomo unapotea bure alafu ndo wafuatilie kwa wale waliofeli

Nionavyo mimi; WANATOA MAAMUZI HAYO NA KUWAPOTEZEA MUDA WALE WALOFAULU KWA KUWA WAO WALISHASOMA

Asanteni

kwa wale waliokuwa wamefaulu je ndo hapo najiuliza itakuwaje
 
Nape Nnauye: Div IV Pts 29 Mathematics F, English F, Civics F

Hawa ndio aina ya viongozi tulio nao...
 
Kweli hii ndo bongo yetu

kwa wale waliokuwa wamefaulu je ndo hapo najiuliza itakuwaje

pia wale ambao wameshajiandikisha kurudia mtihani kwa kutumia matokeo haya ambayo yamefutwa? Itakuwajee?
Mi naona hapo ni changa la macho tu
 
Hapo sina la kusema maana mwanangu katoka na d tupu
 
Kama hata kuyatoa walichelewa je kusahisha upya na kuyatoa si ndo yatatoka Septemba sasa
 
Ee mola tuepushie hiki kizazi cha viongozi mbumbumbu walioiba mitihani.
 
Wakirudia kusahihisha ina maana yale majibu ambayo hayakuwa sahihi, yatakuwa yamebadilika na kuwa sahihi ili wanafunzi wafaulu? au kurudia huku kutaambana na kuweka alama ya tiki kwa makosa idadi fulani ili kufaulisha wanafunzi?
 
Binafsi ubongo umefikia etc kwani bora wangeshauri kurudia mitihani ningeelewa, kumbuka waliolipia kurudiwa kusahihishiwa walifeli zaidi....Hapa nadhani SIASA AT WORK tusubiri darasa la 7 kusahihisha mitihani ya form 6.
 
Usije kukuta hata scripts zenyewe NECTA wameshaziuza mitaani kufungia chipsi mayai!!!!!
 
Tanzania (ya ccm of 90s+) iko hivi:
- ikicheza simba na yanga wanasiasa/wanachama wanainfluence matokeo ili kumaliza migogoro au kufukuza kiongozi wasiyemtaka
- katika tenda wanampa mfadhili wa chama hata kama pesa zinahamishiwa nje haina shida (ref. kilimo kwanza na matrekta)
- katika elimu haijalishi kama mwanafunzi ameelewa (hata kusoma na kuandika) bali matokeo yajaze shule zilizopo ndio maana kabla hazijajengwa (za kata) hata genius wengi walibaki vijijini
- wabunge ni lazima watete majangili na wauaji wa tembo hata pale ushahidi ulipo wazi.

kama unao ujasiri wa kusimamia ukweli kam Hayati Stanslauas Katabalo, Msigwa au Lema basi njia iko wazi
 
wabongo kweli tunaliwa, nchi imeshakosa dira siku nyingi, tuamke tuikomboe nchi yetu, inauma sana kuona tuna lundo la viongozi wanaoiangamiza nchi huku tukiwatazama tu!:whoo:
 
Acha wasahishe upya ili wasomi mbumbumbu waongezeke NCHI iwe raisi kutawalika, chezea siasa wew
 
Back
Top Bottom