Matokeo ya kidato cha nne yafutwa hii ndo bongo bwanaaa...

Matokeo ya kidato cha nne yafutwa hii ndo bongo bwanaaa...

Jamaani angalieni madaraja msilalamike tu kwa kuwa sio nyie mlio fanyiwa hivi.
Acheni tu wafate haki
 
Tunahitaji mabadiliko ya hali ya juu,kama wizara yenyewe haijielewi wataweza kujielewa wanafunzi kweli?
 
Wafate haki gani ww kama watoto wamefeli wamefeli tu..ww huoni miondominu ya bongo?unategemea mtoto atafauru bila walimu bora?afelie ndo anaenda ualimu wapi na wapi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 
Wliojinyonga je nao itakuaje,tusicheze na elimu,tuache siasa
 
Weka pia ya Tajiri yako yule macho ku mchuzi!

I am my own boss, my destiny is at my own hands. By the way wewe huna mamlaka ya kumpangia mtu aweke matokeo ya nani na aache ya Nani. Ninayoyajua mimi ni ya Nape Div 4 pts 29 na ya Mnyika Div I pts 7. Haya nenda zako Lumumba ukakinge buku 7 yako
 
Haiseeeeee'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''',elimu sasa baaaaaaaaaaaaas,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndo mwisho.
 
Kwa iyo yule aliyemchora zombie na mesi anaweza ibuka na div 3 sio?
Je wale waliojinyonga je?
 
Kwa Hali hii Paka Yule aliyechora Zombi kwenye Booklet atafaulu na kuchaguliwa Kibaha Boyz!!!!!!
 
Marking schemes za kusahihisha upya atatunga huyo huyo Nape aliyefaulu kwa kuwa na daraja la juu yaani division IV
 
i am my own boss, my destiny is at my own hands. By the way wewe huna mamlaka ya kumpangia mtu aweke matokeo ya nani na aache ya nani. Ninayoyajua mimi ni ya nape div 4 pts 29 na ya mnyika div i pts 7. Haya nenda zako lumumba ukakinge buku 7 yako

hata waziri wa elimu nina mashaka nae
 
Looooh!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Inanikumbusha tamthilia ya Goerge Olwel ya Animal farms,hakika namwaambieni kuboresha ma division zeros na fours kwa ku-upgrade ili yawe one na 2 kwa minajili ya kujqaza madarasa na vyuo ni sawa na kupaka vanila juu ya kinyeshi ili kivutie.si ajabu hata yule wa mazombi hayajavaa viatu akasogezwa kuwa division 4 na hatimaye akachaguliwa kwenda kwenye moja wapo ya vyuo vya ualimu.
 
kama basi mtoto wako katwaa D tupu, mi naona ni wakati wako wa kuweka tamaa. Kwani huenda katika matokeo mapya miongoni mwazo zikawa C
 
Nidhahili matokeo ya 4m4 ni igizo tosha,basi iwe riwaya i2mike mashuleni!, yaan watu hawa ivi zko timam?
 
Back
Top Bottom