Kuna mwana pale mabatini alikuwa anapiga 50/50 siku akifeli sana basi ana 48/50.Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001...
Miaka ipi hiyo mkuu? Labda ungetaja jina ningeweza kumfahamu.Kuna mwana pale mabatini alikuwa anapiga 50/50 siku akifeli sana basi ana 48/50.
Yule mwamba alienda Kibaha boys sijui siku hizi anaendeleaje hukoo..
Yaani tukikutana Nonde, Sisimba, Azimio, mabatini nzovwe lazima awe wa kwanza kila pepa.
Hakika wakati ni ukuta aiseee...
Safi sana kuona mtu kichwa kuanzia darasani mpaka kwenye maisha.Aisee kuna mmakonde pale mzumbe mwaka 1998/1999 kidato cha nne alipata A zote ,hapo hapo mzumbe six akapata A zote saizi ni daktari bingwa huko uturuki Kwa mara ya Kwanza kushuhudia genius,maana kuna Raia ni kukariri mwanzo mwisho ila Jamaa ni nomaaaaa sio poa hakuna cha mathe wala physcs
Wamefanya ushindani uwe wa kimyakimya. Ila miaka ile ilikuwa moto sana. Nashangaa siku hizi vijana wanapata one za saba nyingi sana, sijui elimu imebadilika au ndio vijana wana akili zaidi.siku hizi hakuna Tanzania One wala shule kumi bora. serikali imeachana na kuwapa zawadi vichwa
maana wamegundua ulimwengu wa internet unaabudu Entertainers. vichwa wa academic wanaonekana wapuuzi tu