aisee yana determine sana lets say advance umesoma pcb then unataka law itabidi uwe na c ya english lg olevel,,,mfano mwingine kama wewe ni hkl na unataka kuchagua coz ya biashara itabidi uwe na atleast d ya math o level lasivyo hauqualify wel iikitu inadetermine sana ukitaka kuelewa kwa undani download tcu guidebook uone vgezo vya kujiunga nacoz utaona tokeo la o level lilivo na dili ukiwa unaaply coz za degree! Kwa sayance itabidi uanze na certificate au ukasome zanzibar kuna coz za degree za computer kwa wanaarts!