Matokeo ya Kidato cha Nne yana mchango gani katika kuchaguliwa chuo?

philyp

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
23
Reaction score
1
wana jf ningependa kujua je kama umechukua science olevel ila a- level haukuchukua masomo ya science ila o level ulifaulu vizuri science je ukitka kuchukua course za science chuo wataangalia matokeo yako ya o- level
 
aisee yana determine sana lets say advance umesoma pcb then unataka law itabidi uwe na c ya english lg olevel,,,mfano mwingine kama wewe ni hkl na unataka kuchagua coz ya biashara itabidi uwe na atleast d ya math o level lasivyo hauqualify wel iikitu inadetermine sana ukitaka kuelewa kwa undani download tcu guidebook uone vgezo vya kujiunga nacoz utaona tokeo la o level lilivo na dili ukiwa unaaply coz za degree! Kwa sayance itabidi uanze na certificate au ukasome zanzibar kuna coz za degree za computer kwa wanaarts!
 
Kama umepass advance vizuri usiwaze kabisa matokeo ya olevel.yatatumika pale nafasi za chuo ulichoomba zimejaa alafu labda nafasi ya mwisho mmegongana wawili ndo wataangalia yupi ana division nzuri o level.
 
sio kweli! Mfano umepata hgk one ya 3 ukaaply law nakwambia atachukuliwa mwenye 2 hkl au hgl kama huna c ya english o level trust me.
 
Upo sahii kabisa dogo anabisha kitu asichokijua
 
sio kweli! Mfano umepata hgk one ya 3 ukaaply law nakwambia atachukuliwa mwenye 2 hkl au hgl kama huna c ya english o level trust me.

Upo sahihi kabisa
 
sio kweli! Mfano umepata hgk one ya 3 ukaaply law nakwambia atachukuliwa mwenye 2 hkl au hgl kama huna c ya english o level trust me.

Maybe i dnt knw much about arts staffs.but if ni science umepiga o level kawaida.a level umepiga fresh upo juu zaidi ya aliyefanya vizuri o level alaf A level akafanya kawaida.
 
mfano mm nilichukua hge Alevel na matokeo ya kawa BBB na o level science physics na B chemistry D na biology na C alaf ktka kuaaply chuo nikaweka computer engineering as first priority nitachGuliwa kweli......??
 
may be computer science ila hiyo ulojaza nisikutie moyo ndugu......
 
acha uongo umesoma wapi ww!! tcu ndo wameweka ivyo vigezo bt first priority wanapewa waliosoma hayo masomo advance
 
Kama umepass advance vizuri usiwaze kabisa matokeo ya olevel.yatatumika pale nafasi za chuo ulichoomba zimejaa alafu labda nafasi ya mwisho mmegongana wawili ndo wataangalia yupi ana division nzuri o level.

kaka hapa umedanganya uombe msamaha uma!!
 
Back
Top Bottom