grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
povu lote hilo la nini mkuu? dogo ameuliza swali rahisi na ameshajibiwa (na wenye busara zao). maelezo yoote haya ya nini? halafu kumbuka miaka "yetu" unaiyosemea hapa mchakato mzima wa mitihani mwanzo mwisho ilikuwa ni "manual" mwanzo mwisho! kaazi kweli kweli!
Acha kiherehere wewe jiwe limerushwa gizani wewe unapiga kelele, umejibiwa wewe. Huna hadhi ya kunitoa povu hata kivuli changu.