wilsonilanga
Member
- May 26, 2013
- 79
- 14
matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa matokeo haya yatatoka ndani ya mwezi wa pili
leo mchana matokeo yametangazwa. Em ndugu fanyeni mchakato muya upload humuhumu na pdf mtoe kwan vijana wetu wayaone kiuraisi kwan cm za weng hazina uwezo wa kufungua pdf.