matokeo ya kidato cha nne

matokeo ya kidato cha nne

Status
Not open for further replies.

wilsonilanga

Member
Joined
May 26, 2013
Posts
79
Reaction score
14
matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa matokeo haya yatatoka ndani ya mwezi wa pili
 
Source please...au unataka uwarushe watu roho?
Grade ziko vipi?div 1 hadi divion five ngapi?
 
Mpaka Mh DK kawambwa atangaze!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
story ya ukweli lakini hamuna dv five kwa mujibu wa sheria matokeo yatangazwa kabla ya kuisha mwezi wa pili
 
Big Results Now at work! Si ajabu hakuna Div 5 (Zero) mwaka huu, na hivi mwakani vyama vipo kikaangoni basi ni kulaghai wadanganyika tu mpaka watabasamu.
 
mkuu kutoa source ni vigumu kwa sababu hii ni siri.kwa wale wanao uliza dv 5 hiyo haipo bali kuna ile iliyozoeleka zero
 
matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa matokeo haya yatatoka ndani ya mwezi wa pili

Acha kutudanganya wewe.
 
LEO mchana matokeo yametangazwa. em ndugu fanyeni mchakato muya upload humuhumu na pdf mtoe kwan vijana wetu wayaone kiuraisi kwan cm za weng hazina uwezo wa kufungua pdf.
 
Kuna mdogo wangu leo tv itakua mama mkwe kwake,no tamthilia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom