Yametoka ila kwa amri ya wizara wote wenye wastani wa 20% nakuendelea watajiunga na kidato cha tatu.
Machali mtaani wanashangweka tu na kudai ni lazima wa BRN mpaka university
hapana haya yanapatkana kwa mkaguz mkuu wa kanda inategemea upo kanda ipi na hayawek kwenye mtandao ni mpaka mwl husika aende kwenye ofisi za kanda za mkaguz mkuu wa kanda elimu
Matokeo yako tayari na Mulugo jana( atc) arusha technical collage akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 5 aliwapa agizo wakuu wa shule kufuata matokeo jumatatu ofisi za kanda na walioshindwa kufikisha asilimia 30 lazima warudie darasa
Yametoka ila kwa amri ya wizara wote wenye wastani wa 20% nakuendelea watajiunga na kidato cha tatu.
Machali mtaani wanashangweka tu na kudai ni lazima wa BRN mpaka university