Matokeo ya kidato cha pili kama enzi za Mwinyi

Matokeo ya kidato cha pili kama enzi za Mwinyi

Mr Anold

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
218
Reaction score
47
Yametoka ila kwa amri ya wizara wote wenye wastani wa 20% nakuendelea watajiunga na kidato cha tatu.
Machali mtaani wanashangweka tu na kudai ni lazima wa BRN mpaka university
 
Vp yanapatikana kwenye mtandao wa NECTA

hapana haya yanapatkana kwa mkaguz mkuu wa kanda inategemea upo kanda ipi na hayawek kwenye mtandao ni mpaka mwl husika aende kwenye ofisi za kanda za mkaguz mkuu wa kanda elimu
 
Matokeo yako tayari na Mulugo jana( atc) arusha technical collage akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 5 aliwapa agizo wakuu wa shule kufuata matokeo jumatatu ofisi za kanda na walioshindwa kufikisha asilimia 30 lazima warudie darasa
 
Yametoka ila kwa amri ya wizara wote wenye wastani wa 20% nakuendelea watajiunga na kidato cha tatu.
Machali mtaani wanashangweka tu na kudai ni lazima wa BRN mpaka university

Refference please!!!
 
Huyo Mulugo sio waziri tena toka leo hivyo agizo lake halitekelezeki kabsa...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom