Matokeo ya kidato cha sita 2013

Usikimbie kivuli chako. Kama ulikuwa unashinda kwenye facebook sasa ujue majibu yako wa kumchora Messi kwenye "answer scriptbook" yatakutangulia kwenye maisha ya kubeba maboksi na kuoa mapema!
 
Jamani eeh tulieni...matokeo yatatoka..iwe leo iwe kesho lazma yatoke tu..na mtavuna mlichopanda..km ulikua unashinda jf na facebook ndo mtajua
 
huyu ndalichako hayupo serius.,yaani wanajichanganya wenyewe warudie kusaisha matokeo ya f.4 af sis wanatuweka kapuni tunazid kusubiri ndio nin.
 
Chai tupu.ndo ubaya wa kuwa na viongozi wanaoangalia mshahara tu badala ya kazi zaidi.
 
jaman kwa mujibu wa media(chanzo redio one) matokeo f6 2013 kutoka within this wk.mjipange sasa.
 
Humu ndani kuna wa2 hawajambo kwa kujifanya wanajua mambo! Swala la m2 kufeli au kufaulu cdhan kama lina ingiliana na kushinda fb,twte ama jf hapa ni Uelewa wa m2 mwenyewe. NA kwanini 2na kuwa na destul ya kutoa majibu mawili ktk swali moja?
 
Necta haina jipya elimu imejaa stress...wala simshangai aliyechora zombie na messi:banghead:🙂:beer:🙂
 
hv hzo habari kuhusu awamu za wahitimu 4m6 kwenda jeshi zina ukweli wowote au ni ngebe 2 za wa2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…