Matokeo ya kidato cha sita 2013

Matokeo ya kidato cha sita 2013

Wanajishaur marambili, iliwaendelee kuwepo wakiborongatu kadinyekundu nje,
 
Jaman wadau kuna info za kuchanganya sn ivi kuhusu form za mkopo kwamba mwisho ni tar 30 may je kwa sisi ambao tunasubiri matokeo.Mwenye taarifa kuhusu hilo jamani
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kusogeza hyo tar mbele coz kama ndo hvyo waliomalza 4m 6 wote itabdi waombe mkopo, bla kujal watapata ngap!
Huon kuwa haiwezekan.
 
Wacheni tamaa mambo yetu TZ hayaendi kwa tarehe kuahirishwa jambo ni kawaida.
 
Jamani mi ninamsubiria Ndalichoko, wala sisikilizi media, ila usajili wawatakao resit umeshaanza kabla ya matokeo kutoka, tembelea web ya necta utaona! Jinsi baraza walivyo viboksi!
 
Mi sina shida na mtokeo tena ,mtihani uniumize kichwa na kusubiri matokeo pia kuniumize kichwa! Aaaaagrrr!!! Staki matokeo yabandiken tu vyumban mwenu wapuuzi nyie!
 
Jumatano ya trh 29 may matokeo out yote 4m4 na 4m6.
 
And dat we ar waiting for how long will we carry dis baden on our shoulder bhana let them release tha result
 
Back
Top Bottom