Jaman wadau kuna info za kuchanganya sn ivi kuhusu form za mkopo kwamba mwisho ni tar 30 may je kwa sisi ambao tunasubiri matokeo.Mwenye taarifa kuhusu hilo jamani
Kuna uwezekano mkubwa wa kusogeza hyo tar mbele coz kama ndo hvyo waliomalza 4m 6 wote itabdi waombe mkopo, bla kujal watapata ngap!
Huon kuwa haiwezekan.
Jamani mi ninamsubiria Ndalichoko, wala sisikilizi media, ila usajili wawatakao resit umeshaanza kabla ya matokeo kutoka, tembelea web ya necta utaona! Jinsi baraza walivyo viboksi!
Mi sina shida na mtokeo tena ,mtihani uniumize kichwa na kusubiri matokeo pia kuniumize kichwa! Aaaaagrrr!!! Staki matokeo yabandiken tu vyumban mwenu wapuuzi nyie!