BakalemwaTz
Senior Member
- Jul 14, 2017
- 120
- 125
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2023?
View attachment 2680247
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05 mwezi july 2022 kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa kuchelewa though kama yatakua yametoka ni imani yangu tutaweza kuyapata kupitia uzi huu wa JF
Link yenye dondoo za matokeo ya form two hii hapa
Matokeo yameshatoka na unaweza kuyapata Kwa kufuata link hiyoKumekuwa na maswali mengi kutoka wapi na akina nani??
Kwa hiyo kama mwaka jana yaliyoka tarehe 5 mwezi July na mwaka huu ulitaka yatoke tarehe hiyo hiyo?
Wewe unajua shughuli ya usahihishaji labda iliisha lini? Na mchakato unaofuata baada ya usahihishaji unafahamu unachukua muda gani kukamilika hadi matokeo yatoke?
Lakini kwa jinsi usivyoelewa mambo, hadi kwenye uzi umeandika kidato cha nne 2023, angali bado vijana hawajui hata harufu ya pepa za necta!