Matokeo ya kidato cha sita yako tayari.Vikao husika vya kupitisha na kuidhinisha kutolewa kwake vinaendelea NECTA.
Lakini,Serikali imeagiza kuangaliwa vyema kwa matokeo hayo ili kuzuia kutokea kile kilichotokea kwa Kidato cha Nne. NECTA kila mara wanakumbushwa juu ya hilo ingawa maelekezo hayo hayako wazi juu ya nini hasa kinachotakiwa kufanywa.
Matokeo rasmi kutolewa siku za hivi karibuni (kuanzia Jumatatu ya tarehe 20/5/2013). Wahusika wote,kila la kheri!